davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Habari zenu Wadau, naomba mnisaidie kupata program ambayo itaniwezesha kuplot cordinates za GPS. Mfano umepima eneo uweze kuona boundaries zake n.k
Asanteni sana
Asanteni sana
Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
Program kwa ajili ya platform gani?!
Kama unatumia iPhone, download iGPS utapata coordinate na vipimo vingine vyote muhimu kila point unayosimamaView attachment 148758
BaseCamp MapSource download ni free zinatumiwa sana kwenye Garmin GPS.. kama alivyoshauri mdau mlimani city zipo zinauzwa
hem cheki autocad civil 3d pia hauja andika hiyo program ni ya pc au phone.bt kama ni ya pc jaribu hiyo au autodesk land scape.