PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

Yohana Daniel

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
63
Reaction score
33
Happy new year wapendwa wa JF natumai wote tunafurahia kuupokea mwaka
Naomba kufahamu ni program gani nzuri ya computer ambayo unaweza kuedit picha nzuri ikiwa na autofocus ya ukweli
Maoni yenu kwa wanaojua kama asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adobe Photoshop CC ile ya 25 yrs ukisha install yenyewe kufunguka kwake linatokea toto kama la Kiarabu vile na limeachia nywele zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua anamaanisha background blur kwenye Photoshop CC unaweza blur picha hata kama camera haikupiga auto focus
Kama unmaanisha ile blur kwenye picha huitwa potrait mode ama bokeh effect, sehemu ambayo haina focus inakuwa blured.

Autofocus ninavyofahamu mimi ni ile mechanisim ya camera kutambua object na kuiangalia, siku hizi wanatumia hadi laser kwa accuracy nzuri.
 
Huyu amemaanisha ile blur effect watu wengi wanaiita auto focus...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…