Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Jul 5, 2020 #1 Wakuu na wataalamu wa Programu za Android na PC je program/app gani imetumika kuandika juu ya hizi picha? Nitashukuru sana Nikizipata!
Wakuu na wataalamu wa Programu za Android na PC je program/app gani imetumika kuandika juu ya hizi picha? Nitashukuru sana Nikizipata!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 5, 2020 #2 Meme Creator Quotes Creator. Una-upload hiyo picha kutoka kwenye gallery yako halafu unaongezea hayo maandishi
Meme Creator Quotes Creator. Una-upload hiyo picha kutoka kwenye gallery yako halafu unaongezea hayo maandishi