kutengeneza extended song unaweza kuikamilisha kwa software moja au zaidi ya moja kutokana na uzoefu wako...wengine wanatumia dj mix softwre kama virtual or serato (hii wanaifanya live)..wengine wanatumia audio production softwares kama nuendo,cubase ,adobe au hata videos software kama sony vegas,adobe n.k....ambazo ni editing ya utulivu wa hali ya juu..na hizi mara nyingi ndio zinakuwa tamu....nitakuwekea link uzisikilize baadhi zangu ambazo nimefanya kwa kutumia cue za dj mix softwares na nyingine za sony vegas na fl studio.......pia ni vizuri ukiwa na beat husika ya wimbo ambao unataka kuuextend japo sio lazima sana