G GOD 66 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 628 Reaction score 270 Nov 11, 2016 #21 kwani mwisho si ilikuwa 4th round iyo 5th ilikuwa lini
Mhigwa one Member Joined Nov 5, 2016 Posts 60 Reaction score 46 Nov 12, 2016 Thread starter #22 Kwa kweli sijui
Mhigwa one Member Joined Nov 5, 2016 Posts 60 Reaction score 46 Nov 12, 2016 Thread starter #23 Jamani nijulisheni updates zozote za majina kama yametolewa na chuo cha udom kujiunga na shahada mpaka sasa nasubiri japo TCU walishanichagua naanza kupoteza matumaini kabisa!
Jamani nijulisheni updates zozote za majina kama yametolewa na chuo cha udom kujiunga na shahada mpaka sasa nasubiri japo TCU walishanichagua naanza kupoteza matumaini kabisa!