Profile ya Kanumba... kaiandika mwenyewe

Kwa mara ya kwanza umeongea pointi tupu! Sijui umekunywa nini leo.

Halafu cha kushangaza ni kwamba Waingereza wenyewe wala hawatamcheka Kanumba kwa kuongea Kiingereza kilichopinda. Wanaomcheka ni Watanzania wenzake. Strange!!

...huna haja ya kutoa mielezo mirefu kama ilani ya CCM wewe gonga THANKS tuu!
 
Sidhani kama wanamcheka. Watu wanasema kwa sababu Kanumba anakanusha kuwa hakuongea kiingereza kibovu. wanaosema, kwa kiasi kikubwa, naamini wanafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia, lakini yeye mwenyewe hataki kukiri kuwa lugha hiyo haipandi. Ukiangalia alichokiandika kinathibitisha kuwa lugha haipandi, kwa nini anaendelea kubisha? Uungwana ni kukiri ili apate mwanya wa kujifunza zaidi... haya mambo kayakuza mwenyewe, ilikwua ni kukiri tu na kueleza wazi kwua kiingereza si lugha yake hivyo si ajabu kutoifahamu vema, siadhani kama kuna mtu angemcheka. Mbona tupo wengi hatujui kiingereza na hatuchekwi licha ya kukiri kuwa hatuijui lugha hiyo

Salute!.....

sisi pale kifungilo sister mkuu alituambia suiogope kuongea kwa sababu watuw atakucheka ila ndivyo unavyo jifunza..kama unataka maji....sema "water please"...kama unataka kwenda bathroom na hujui sentensi nzima wewe sema "bathroom please"....kwa kwenda mbele...
 
Teh teh teh teh najaribu kufikiria kama kanumba angekuja pale Kifungilo halafu akakutamani Shem angesemaje? ..........please hahahhhahhhaha!
 
Sidhani kama wanamcheka. Watu wanasema kwa sababu Kanumba anakanusha kuwa hakuongea kiingereza kibovu. wanaosema, kwa kiasi kikubwa, naamini wanafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia, lakini yeye mwenyewe hataki kukiri kuwa lugha hiyo haipandi. Ukiangalia alichokiandika kinathibitisha kuwa lugha haipandi, kwa nini anaendelea kubisha? Uungwana ni kukiri ili apate mwanya wa kujifunza zaidi... haya mambo kayakuza mwenyewe, ilikwua ni kukiri tu na kueleza wazi kwua kiingereza si lugha yake hivyo si ajabu kutoifahamu vema, siadhani kama kuna mtu angemcheka. Mbona tupo wengi hatujui kiingereza na hatuchekwi licha ya kukiri kuwa hatuijui lugha hiyo

Okay, kama hawamcheki kwa nini sasa baadhi ya watu wamemtungia msamiati (Ukanumba)? Huwezi kumsaidia mtu kwa kumkejeli na kumsengenya na kumfanya awe caricature.

Nakubali wapo wenye nia nzuri lakini ukiangalia objectively utaona watu wanaomrushia madongo ni wengi sana na wana cloud wale wenye nia nzuri.

Overall, the Tanzanian hoi-polloi don't know language be it Kiswahili, English, or whatever other tribal language they speak.
 
Teh teh teh teh najaribu kufikiria kama kanumba angekuja pale Kifungilo halafu akakutamani Shem angesemaje? ..........please hahahhhahhhaha!

si mpaka aruhusiwe! hahahahahahah....Kuna shule ya missionary inaitwa soni seminary ilikuwa jirani yetu walikuwa wanawekewa ngumu....ila wanafunzi wa kifungilo tulikuwa tunapenda wanafunzi wa Magamba secondary "Bad boys"...tulikuwa tunawabamiza na english yetu ya kubahatisha aisee weeh! maana ulikuwa ukisikika unaongea kiswahili unapewa adhabu kali sana kwa hiyo inabidi tuu upandishe lugha hivyohivyo tuu uelewe usielewe ili mradi....wakawa wanatuona tupo matawi ya juu kumbe ooh salale....Soni walikuwa wengi wanasomea upadri kama wewe shem.....
 
si mpaka aruhusiwe! hahahahahahah....Kuna shule ya missionary inaitwa soni seminary ilikuwa jirani yetu walikuwa wanawekewa ngumu....ila wanafunzi wa kifungilo tulikuwa tunapenda wanafunzi wa Magamba secondary "Bad boys"...tulikuwa tunawabamiza na english yetu ya kubahatisha aisee weeh! maana ulikuwa ukisikika unaongea kiswahili unapewa adhabu kali sana....Soni walikuwa wengi wanasomea upadri kama wewe shem.....

Hahahah Kanumba angesema Kelly something there ....... (akionyeshea kidole) please hahahahahah

hahahahaha haya bwana niliukimbia sikuwa na wito kwa kweli
 
Hahahah Kanumba angesema Kelly something there ....... (akionyeshea kidole) please hahahahahah

hahahahaha haya bwana niliukimbia sikuwa na wito kwa kweli

No wonder una act kama Kanye west maana umelaanika na mungu kwa kukimbia wito aliokupa ukajifanya huna wito ilimradi ujifanye na wewe wamo.....lakini shem unajua mambo yanakwenda taratibu nina uhakika kuwa Kanumba atatambua mapungufu yake na kuyarekebisha...since yeye ni anataka kuwa international movie star...angalia akina salma Hayek,Panelop Cruz wote hawa wamejifunza..Panelop alikuwa hajui kabisa though now yupo gado... wote tupo njia moja you know.....
 
Nadhani twamsaidia kiaina hapa....sasa hivi nasikia ameanz shule pale British council, baada ya muda atatokamo. Nitake radhi aisee mimi Kanye West duuu....heri ungeniita Adebayo....!
 
Nadhani twamsaidia kiaina hapa....sasa hivi nasikia ameanz shule pale British council, baada ya muda atatokamo. Nitake radhi aisee mimi Kanye West duuu....heri ungeniita Adebayo....!

Yaani i am so hoping for the best kwa kweli kwa Kanumba....maana yule ni great super star wetu wa kibongo kwenye movies kama Nigeria walivyo na wa kwao na Ghana na Van Vicker....as a promoter nipo mstari wa mbele kumsupport My kanumba....I promise you...

hahahahaha!....haya shem i take it back wewe na Kanye west siyo sawa.....
 
kwa kiwango chake cha elimu kingeraza anachoongea kinamtosha kabisa and he is good. There are some people of his level of education can not even make a single sentence. Let us encourage him instead of discouraging.
 
Nadhani twamsaidia kiaina hapa....sasa hivi nasikia ameanz shule pale British council, baada ya muda atatokamo. Nitake radhi aisee mimi Kanye West duuu....heri ungeniita Adebayo....!

Mkuu kama ni kweli jamaa atakuwa amejifunza kwa njia ngumu sana. Ila namtakia kila la kheri, na ni vyema wasanii wengine waanze sasa. Si English tu wanaweza hata kusoma Kiswahili, Kichina lugha yoyote ya zaida. Maana najua wasanii wengi Kiswahili nacho kinawagonga vibaya mno. Ukikutana nao unaona huruma kweli ila wao huwa hawajionei huruma, wanaona wako sawa tena matawi kabisa
 
tatizo hapa kwani kalazimishwa kuandika profile yake kwa kingereza? angeandika kwa kiswahili ningemsifu zaida.
 
Mna uhakika gani kwamba Kanumba ndiye aliyeandika????????????? Kwani haiwezi kuandikwa na mtu yeyote mwenye nia mbaya na Kanumba?????????????????
 
may be sio kanumba mwenyewe kaandika huyu mutu kaleta tuu hii thread,kwanza hakuna hiyo website hapo,is a right out cheating and insult to JF members' ametokea shinyanga kaja Dar so yupo anajifunza kishwahili nakingereza,kajitahidi sana sana,hamuoni kiswahili ameshaweza, na soon english nayo,so Kanumba big up men, usikate tamaa,uje spain huku uanze kusema spanish
 
Mna uhakika gani kwamba Kanumba ndiye aliyeandika????????????? Kwani haiwezi kuandikwa na mtu yeyote mwenye nia mbaya na Kanumba?????????????????

Kweli kabisa! Unless wameongea na Kanumba mwenyewe na yeye kuthibitisha kuwa hakika yote yaliyomo kwenye hiyo "profile" ni maneno yake aliyoyaandika yeye mwenyewe, ukweli unabaki kuwa wengi hapa wana speculate na ku assume.

Hata mimi ninaweza kuanzisha blogu na kujifanya mimi AY na kuandika ujinga ujinga ili tu kumchafua huyo mtu. Tumieni akili zenu na jadilini mambo kama watu mliostaarabika na kwenda shule.
 
may be sio kanumba mwenyewe kaandika huyu mutu kaleta tuu hii thread,kwanza hakuna hiyo website hapo,is a right out cheating and insult to JF members' ametokea shinyanga kaja Dar so yupo anajifunza kishwahili nakingereza,kajitahidi sana sana,hamuoni kiswahili ameshaweza, na soon english nayo,so Kanumba big up men, usikate tamaa,uje spain huku uanze kusema spanish

mzee ingia google na search hiyo link, hicho ndico alichoandika Kanumba
BIOGRAPHY - Welcome to Kanumba's World
Steven Charles Kanumba is my name, i was born

lakini hawa waigizaji ni lazima wajifunze hii lugha ya mawasiliano kwa sababu wao washakuwa ni macelebrity sasa, na ndio kisa cha Kanumba kuitwa kule SA kwa sababu ya umaarufu wao lakini unapoweka hayo maelezo ya lugha ambayo hauifahamu vizuri bac hata wasomaji wataweza kukujaji na kukuzungumna kwa kirefu
sasa yeye kanumba anajihita 'THE GREAT KANUMBA' n ampinzani wake mkuu Ray kigosi anajiita 'THE MOST GREAT RAY' sasa haya mambo ya great, greater, greatest ni mambo ya primary school,
HAWA JAMAA WANAHITAJI SHULE YA LUGHA ILI WACHANUE ZAIDI KWENYE MAMBO YAO NA WAWE WA KIMATAIFA
 
Mna uhakika gani kwamba Kanumba ndiye aliyeandika????????????? Kwani haiwezi kuandikwa na mtu yeyote mwenye nia mbaya na Kanumba?????????????????
No research no right to speak!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom