Professor Muhongo aionya serikali

Nimepaki bodaboda yangu pembeni ili nisome uzi huu nikiamini yule mtu aliyema akifukuzwa kazi Dodoma na Dar vitakumbwa na tetemeko anasema nini leo
Kumbe ni mpyempyempye tu!
 
yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Jiandae kuwa kama Zimbabwe chezea mzungu wewe,

Kumbuka ndiye kaifundisha Africa yote kuvaa tulikuwa tunatembea uchi.
 
Utateteaje nchi iliyo chini ya mikataba mibovu?
 
Aisee, kumbe hatukuwa na kitu pale.Professor gani anakuwa muoga namna hii. Kazi yake utaalamu wa miamba. Awaache wanasheria na wachumi watueleze, strength na weakness za hawa infestors (not investors) hana authority kwenyefani hizo.
 
Hili movie ni kali mno ngoja nichunge ulimi na vidole vyangu ili baadae nisije lamba matapishi
Uzuri wake wanaorumbana ni watoto wa baba mmoja(ccm)
Sijajua lengo lao nikutaka kujirekebisha makosa yao, ni kutaka kuchafuana, ni kutaka kujitafutia umaarufu kisiasa au kutaka kutuangamiza kabisa?
Hata hivyo yote yanayoendelea wao ndio wamesababisha na uwanja wa utawala bado ni wao
Muda utahukumu
 
Kama ulijua Watanzania wanafanya MAKOSA mbona HUKUTOA SULUHISHO ukiwa bado ungali WAZIRI?
 
Wakati wanakula kipande cha mkate wanashinda wanamsifia Magu. Lakini wakitolewa ndo wanapanua vinywa vyao. Yupo mmoja wao naye ni Prof.
Chama hakiruhusu kuhoji au kupinga chochote kitokacho kwa mwenyekiti..
 
ndio huyo ccm walikua wanampaisha mara jembe,mara chuma kumbe ni boya tu ....mikataba yote alikua anaitetea kana kwamba yeye si mtanzania.bora tu wamempiga chini akatengeneze juice.
 
Utateteaje nchi iliyo chini ya mikataba mibovu?
hapo umeuliza nini sasa!!!? au umeona kutetea tu,hukuona kusaidia kurekebisha inapokosea serikali!!!? sawa, kwa maana yako hatuwezi kuisaidia serikali sisi na mawaziri kwa msaada wa nchi yako nakuomba upendekeze jinsi ya kuibadili mikataba bila binadamu kuhusika
 

Alikuwa anasubiri ashauri baada ya kutemeshwa uwaziri!!!
 
Angeonekana mwema sana endapo angeyasema hayo matatzo kabla ili tuweze kurekebisha km ni mikataba ama la
 
Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Kwa kweli, jitu zima ovyo kabisa! Jambazi la nchi kavu! Ale hizo pesa vizuri na family yake! Afanalek walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…