Makubwa.Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hebu wekeni chanzo (link) tujisomee wenyewe.Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Wewe unaunga mkono kitu hata wala rambirambiyeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Na ni haohao ndiyo humtukuza Mugabe kwelikweli wakati ameiharibu Zimbabwe.Wewe jamaa ukijitafuta sana inawezekana DNA ilianzia kule kwa washona na Wandebele. Maana hao jamaa walimuaminisha hivyohivyo comrade Robert, ila leo hii imebaki history.
Huyu ni Muhongo yule-yule uliyekuwa unatokwa mapovu kumtetea kuwa ndiyo jembe lenu la CCM
chenu nikipiKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
huna lolote.zaidi ya njaa kama kweli wew ni profesa kweli huwezi kywa ccm
Rais wangu kwa hili sijui umetumia kigezo gani maana mchanga ulikuwa unasafirishwa kwa mujibu wa mikataba. Je mmebadili mikataba hiyo? Ama mnawafukuza wanaotekeleza taratibu mlizoweka.
Kusafirisha michanga hakujapigwa marufuku, ila ilisimamishwa ili tujiridhishe kuwa je, Kiwango cha madini tunachoambiwa kuwa kimo kweli ni hicho au tunapigwa kanyanga mchana kweupe?
na je nchi isipopata matatizo ika shinda matatizo yupo tayari kufuta kauli yake na kuomba msamaha watanzania kwa upotoshaji wake?Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hajamtisha Mtu amewaeleza Ukweli! Kwa Mtindo huu iko siku Magufuli ataondokewa na Mawaziri wote wenye Akili Itambidi awaweke akina Milinga na Ally Kessy na Mwakyembe!yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana