umeandika vemaAsante Prof kwa utumishi wako... Enenda zako kwa amani ya Bwana. Bwana atatuinulia Haron wa kuchukua kijiti cha Musa na kuindeleza safari... Sasa kapumzike ule mafao yako kwa utulivu...
Wewe jamaa ukijitafuta sana inawezekana DNA ilianzia kule kwa washona na Wandebele. Maana hao jamaa walimuaminisha hivyohivyo comrade Robert, ila leo hii imebaki history.Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Huyu ni Muhongo yule-yule uliyekuwa unatokwa mapovu kumtetea kuwa ndiyo jembe lenu la CCMKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Wewe jamaa ukijitafuta sana inawezekana DNA ilianzia kule kwa washona na Wandebele. Maana hao jamaa walimuaminisha hivyohivyo comrade Robert, ila leo hii imebaki history.
Huyu ni Muhongo yule-yule uliyekuwa unatokwa mapovu kumtetea kuwa ndiyo jembe lenu la CCM
Wakati wanakula kipande cha mkate wanashinda wanamsifia Magu. Lakini wakitolewa ndo wanapanua vinywa vyao. Yupo mmoja wao naye ni Prof.Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter , aliyekuwa waziri wa nishati na madini professor Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake
" watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja nahayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Mafisadi wa hapa ndani kashindwa kuwashughulikia ndio atauweza Mziki wa kutoka nje?amuulize Mugabe.
Muhongo at it again, he speaks so highly of wawekezaji. Rejea, "watanzania uwezo wao ni wakuwekeza kwenye viwanda vya juisi"Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter , aliyekuwa waziri wa nishati na madini professor Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.