nimebahatika kuwa mmoja wa wanafunzi wa Professor Haroub Othman UDSM (2007) lakini pia sijabahatika kufundishwa na Issa Shivji, je naomba kujua je kati ya hawa wawili nani ni best academic activist? au nani ni champion wa social justice?
lets assume professor Haroub othman angekuwa hai mpaka sasa.!

sijaelewa mantiki ya swali hili kwanini limekuja sasa ,kwanini linagusa magwiji wetu hawa ,ninapomzungumzia professa haroub athuman na profesa issa g,shivji .hawa NI ELITE HIGH PROFILE ACADEMICIANS, Kwa nchi kama japan huwa wanatengeneza documentary katika television ,hii hujenga taswira halisi katika nchi .nategemea kuona documentary hizo kule kwenye television zetu pendwa ,