Bwana Admin na wengineo
Nakuwekea hapo chini CV ya mama Tibaijuka kwa mujibu wa tovuti ya UN HABITAT, she is excellent kwa kweli katika utendaji wake ingawa hakika watawala waliogopa mno ile taasisi ya BAWATA.
Personally nimekutana na mama Tibaijuka kikazi mara mbili hapa London na mara zote huwa anatema cheche haswa, she is a darling of the western press when it comes to urban settlements na nina makabrasha mawili mazito aliyowahi kunipatia on the state of the world housing kwa hakika tanzania na nchi nyinginezo tunaishi katika mazingira ya tabu sana, katika moja ya cheche zake amewahi kunieleza kuwa ikiwa tunachukua tafsiri ya nyumba na makazi kisheria basi a lot of viband in tanzania haviqualify kuitwa hivyo.
Kwa sasa tunahitaji muelekeo mpya wa kuboresha makazi nchini tanzania, wengi wetu hatufahamu the direct relevance ya nyumba na maendeleo, leo hii tanzania key workers wanahamishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ilhali hawajapewa nyumba ya kufikia unafikiri key worker [polisi, mwalimu,daktari, muuguzi nk] anaweza kweli kufanya kazi na hali he/she is living rough?!
Hakika hata mijini kuna matatizo makubwa sana ya nyumba, msongamano ni mkubwa na quality familly life ni ngumu sana kuiboost kwa sasa.
SOLUTIONS?
-Yes serikali nyingi za kiafrika hazina pesa lakini zina rasilimali ambazo nchi nyingine hamna ARDHI itumike vizuri, kuwepo na bajeti maalum ya kuboresha makazi na zitungwe sheria kali dhidi ya ukiukaji wake.
-Serikali haiwezi kusimamia au kuhakikisha makazi bora kwa kila raia at a go lakini inaweza kuhakikisha KEY WORKERS wanapata makazi ya kueleweka ili waweze kutenda kazi zao popote wanapopelekwa.
-Hivi sasa hali ilivyo ni kuwa ukipata pesa unakwenda ardhi unanunua kiwanja ukishalipia, unatafuta mchora ramani anakuchorea ramani then unaangalia fundi yupo wapi, aghalabu fundi huyu hana qualifications zozote za ujenzi anakujengea, ukitoka kazini unakwenda kusimamia nyumba yako!
huu ni ujima inabidi process nzima ya ujenzi iwe ni ya kueleweka through and through lazima kuanzishwe financing arrangements ''mortgage style'' tanzania ili mtu asiwe anajijengea tu hovyo hovyo kuwe na established companies linked with banks ambazo unawakabidhi ardhi yako wanajenga to your specifications ili kuepuka ujenzi holela na hii itakupa wewe relief ya kujua yupi wa kumsue mambo yakienda mrama....
Naam mama Anna alinipa shule kubwa hapa patajaa.... CV is posted below:
Corrected grammar:
ABOUT MRS. TIBAIJUKA: CURRICULUM VITAE
Anna Kajumulo TIBAIJUKA (DSc. Agroeconomics)
UN Under Secretary General and Executive Director, UN-HABITAT
Officer in charge, United Nations Office at Nairobi (UNON)
Born to smallholder banana-coffee farmers in Muleba, Tanzania and educated at the Swedish University of Agricultural Science in Uppsala, Anna Tibaijuka is the highest-ranking African woman in the UN system. She was appointed Member of the Commission for Africa established by UK Prime Minister Tony Blair, which finally led to the cancellation of multilateral debt for several African countries by the 2005 G8 summit at Glen Eagles, Scotland.
In July 2005, the Secretary General appointed Mrs. Tibaijuka as his Special Envoy on Human Settlements Issues in Zimbabwe, following massive evictions of the poor in urban areas as a result of a City Clean up gone awry. Effective April 1, 2006, Mrs. Tibaijuka is designated by the Secretary General as Officer in Charge of the United Nations Office at Nairobi (UNON), the only UN headquarters in Africa and the developing world. She is currently a member of the WHO Commission on the Social Determinants of Health and also a Member of the Advisory Board on the multi-donor sponsored Commission on the Legal Empowerment of the Poor, co-chaired by Ms. Madeleine Albright (former US Secretary of State) and Chilean economist Hernando de Soto.
Mrs. Tibaijuka joined the United Nations Conference on Trade and Development, UNCTAD, in Geneva, in 1998 as Director and Special Coordinator for the Least Developed, Landlocked and Island developing countries. She was in charge of capacity building in their trade negotiations in the WTO and managed to assist LDCs, for the first time ever, to forge a coherent and united negotiating position for their special trade interests.
In July 2000, she was appointed by Secretary General Kofi Annan as Assistant Secretary General and Executive Director of the former United Nations Centre for Human Settlements (UNCHS), the UN agency for the built-up environment and urban development headquartered in Nairobi, Kenya. She is credited with raising the awareness of the world to the ever-increasing challenge of chaotic urbanization, focusing the old habitat centre's strategic vision and mission, turning around its dismal performance and management, raising its profile and image, and restoring donor confidence, all leading to its upgrading into a full-fledged United Nations Programme on Human Settlements (UN-HABITAT) by the General Assembly in December 2001. She was in turn elected by the General Assembly as the first Executive Director of the new UN-HABITAT program in December 2002 at the level of Under Secretary General.
Prior to joining the UN, Dr. Tibaijuka had a career in academics as a Professor of Economics at the University of Dar es Salaam, Tanzania. She is the author of various books and research papers on agriculture and rural development, farming systems, food policy, agricultural marketing and trade, sustainable development, social services delivery, gender and land issues, and environmental economics. She was an active member of the civil society and the women's movement.
In 1996, she founded the Barbro Johannson Girls' Education Trust (Joha Trust), which advocates for quality girls' education in Tanzania and Africa and operates a model secondary school for poor girls, mostly orphans. She is also a patron of the Tanzania Young Entrepreneurs Initiative and serves as a Director in several private companies in Tanzania. Additionally, she is a member of various professional associations and has participated in UN world summits such as the Beijing Women Conference, the Copenhagen Social Summit, Habitat II in Istanbul, and the Food Summit in Rome. She has won several awards, including honorary Doctorate degrees from the University of McGill in Canada, University College London, and Herriot Watt in Scotland. She is also a Foreign Member of the Royal Swedish Academy of Agriculture and Forestry, as well as CIAT. Mrs. Tibaijuka is a widow with 5 children, one of whom is adopted.