Professional Photographer Needed, Age Btwn 22-30

Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
1,288
2,409
Location: Dar es Salaam
Qualifications: Photography Certificate, Skilled in Adobe and equivalent Photo editor.
Age: 22-30 years old.
Main Duties: Taking photo, Video shooting, Editing, Location seeker and as stated in description.
Send your application to pphotopicha@gmail.com before 20 Feb 2019

Update:

Kwanza niwashukuru wote mmliokuja inbox na mliotuma email, tumezipokea na tutazifanyia kazi.

Napenda kutoa ufafanuzi, kazi ya picha za mnato na picha mwendo kitaaluma haifanywi na asie na taaluma hiyo. Kwa hivyo naomba wanaotuma maombi wazingatie Hilo. Tunahitaji walionaujuzi na wazoefu, na sio wanaohitaji kujifunza.

Key:
Ukiona maswali haya huna majibu nayo tafadhali usijipotezee muda kuomba nafasi hizi.

1. Unafahamu DSRL kamera ni ipi na umewahi kuitumia? Ipi..Crop sensor au fullframe au mirrorless?
2. Unafahamu kufanya setting zake kutokana na Aina ya picha uitakayo?
3. Lights set up unafahamu zipi?
4. Photo and video editing apps zipi ulizo na ujuzi nazo.

Hayo Ni Mambo ya msingi kuyazingatia wakati unaomba hi kazi. Asanteni naamini wajuzi mtajitokeza Sasa.
 
Wadau wa picha mko wapi nafasi ndio hii wanahitajika vijana wenye ari.
 
Nafasi bado ipo.?
 
Back
Top Bottom