Professional Certificate

We umeapply post ipi? mimi pia hizi nimeapply

Mimi sijaapply maana nimeona hiyo professional certificate sina na vilevile sikuwa na uhakika kama kozi yangu nliyosoma itakubalika though barua niliandika kabisa na nikaandaa na copy za vyeti.....nimejivuta kupeleka hadi deadline imefika ambayo ndo leo
 
kumbe na magistrate anapaswa awe nacho? Ata wa mahakama ya mwanzo? (angalia vizuri ulichokiandika, nadhani kuna upotoshaji usio wa makusudi)

"jaribu kutumia common sense ndugu!......ktk maelekezo yangu sijaandika "primary court magistrate".....bali "magistrate".....& the issue here is that you dont even undestand the term "magistrate"....kwa nilivyo kuelewa uelewa wako unamanisha "magistrate" ni hakimu mahakama ya "mwanzo" pekee!!....ni bora ungeliuliza uelimishwe kuliko kukosoa jambo usilo nalo uelewa wa kutosha.....ndugu "magistrate"....wapo pia ktk mahakama za wilaya na mikoa hivyo ulipaswa kuuliza kwanza ni mmagistrate wapi nimewalenga hapa....in due course as per now primary courts magistrates pia wanahitajika kuwa na hii kitu "professinal cert" as an added advantage kwan mahaka za mwanzo sasa huhitaji watu wenye LL.B na si dploma ambaye hata hii kitu "professinal cert" ilikuwa haihitajiki kwake yeye kuwa nayo!!!.......(think twice b4.....)
 

Ahh ungeapply tu hio professional certificates inawekwa kila wakitangaza kaz pale kwenye maelezo yao hii inaaply kwa wale ambao inabidi wapitie professional board kwa ajili ya mitihani yao
 
Ahh ungeapply tu hio professional certificates inawekwa kila wakitangaza kaz pale kwenye maelezo yao hii inaaply kwa wale ambao inabidi wapitie professional board kwa ajili ya mitihani yao

Ndo bas tena nmeshachelewa....utanipa updates kama ukipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…