Professional camera for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana.Lakini haipo TZ bado ipo Uingereza nategemea ktk mwezi huu au wa mwezi wa nne itafika.Maelezo yake kuhusu hii Camera ni mengi mno lakini unaweza kuyapata ktk blog inaitwa matangazo na biashara.blogspot.com ambayo yameelezwa kwa urefu zaidi au unaweza uka google MODEL yake DM-XL1E utapata mambo mengi zaidi.Bei yake ni shs milioni 1.8 na kama utapenda kuiona ikifika tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318 P1010894.JPG $(KGrHqNHJDcE8fTfy3)NBPNqkqHG,!~~60_12.jpg $(KGrHqNHJCEE8l,Vd1fgBPNqkp04W!~~60_12.jpg
 
iyo blog matangazo na biashara.blogspot.com haipo embi jaribu kuangalia link vizuri. Nimeipenda hiincamera
 
Jaribu Tz biashara halafu utakuta sehemu imeandikwa biashara na matangazo utaclick hapo.Au jaribu tena lakini usiache space yaani biasharanamatangazo.blogspot.com
 
Mfiachi..bei hiyo ni poa sana kwa sababu huku inauzwa bei mbaya sana inafika mpaka £600 na imetumika mpya ndio mbaya zaidi.

Superman...Hii camera nategemea mtu anasafiri mwezi huu kama atakubali kunichukulia lakini unaweza kuwasiliana na Habibu ambayo number yake ipo ktk maelezo akueleze kama imefika ktk wiki moja au mbili zijazo I hope.
 
Kwa wasio jua, its a very good camera na bei yake ya soko ni M.4 hapa bongo!. Mimi naitamani sana, bahati mbaya nilishahamia HDV, vinginevyo ningeichukua leo leo!.
 
Back
Top Bottom