TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

Proff mashuhuli amefariki uzi hautembei kabisa ume-stuck...
juzi amefariki mke wa Tale uzi ulikuwa unakimbia speed 120.......
sijui tatizo liko wp!?
Ni kweli niliona clip moja ya wimbo mmoja unachezwa makaburini wakasema ngoma hiyo inaitwa zikiri
 
Nyerere wa OUT na pioneer wa Elimu Tanzania ni Prof. Geofrey RV Mmari.
 
Mtazamo tu, mwingine anaweza akamtaja Dr Jpm
Mkuu heshima yako,
Nafikiri alipomtaja huyo alikuwa anataka kumuweka katika ramani ya Waasisi, lakini Uhasisi unaendana na sifa za msingi, ambazo zinaendana na muhusika, Ukimtaja Mtu ambaye hana sifa ya uhasisi utaenda kinyume na misingi ya uhasisi.
 
Social media wengi ni vilaza watamjualia wapi Prof ?Ma star wengi ni vilaza na maisha yao feki wanawadanganya vilaza wenzao ndo maana wanakuwa popular. Social media zimewapa plate-forme hata vilaza,idiots.
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️👍🏽
 
Kumbe hivyo vimbweta ndio asili yake hiyo, halafu ni vimbweta sio vimbwete, haviitwagi hivyo
Vimbwete,sisi wa Mlimani enzi za Prof. G. Mmari & Prof. M. Luhanga tunajua Vimbwete.
Watoto wa Mkandala na Anangyise na kina SAUT,SJUITS,UDOM,MUCCOBS,etc ndio mnajua Vimbweta.
 
Rest in Paradise mwanzilishi wa vimbete!!
 
Proff mashuhuli amefariki uzi hautembei kabisa ume-stuck...
juzi amefariki mke wa Tale uzi ulikuwa unakimbia speed 120.......
sijui tatizo liko wp!?
Prof........( nimesahau jina kidogo) alizindua kitabu chake cha Makuwadi wa soko huria siku hiyo hiyo Juma Nature alikuwa anazindua wimbo wake wa "Ugali", ukumbi ulijaa kwa Juma Nature kuliko kwa Proffessor.

Vitu vya hovyo ndio huthaminiwa na hii ngozi nyeusi
 
Kumbe Vimbweta vina historia ya kipekee
 
Prof Chachage seth Chachage, kitabu kiligharimu kitu cha thaman zaid kwa Prof
 
Mungu anempenda zaidi sisi makamanda tukifa yunazikwa na mabuti na kofia kutokama na nature ya kazi yetu uyo nae kwa kuwa ni msomi wamzike na vyeti vyake vyote.....

Mkuu salaam

We mjeda una shida sana ujue

uliona wapi mtu anazikwa na vyeti vyake aisee!

Wajeda mambo yenu mnayajuaga wenyewe!
 
Changamsha genge mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]azikwe navyo sasa unazani nani atavitumia...
Mkuu salaam

We mjeda una shida sana ujue

uliona wapi mtu anazikwa na vyeti vyake aisee!

Wajeda mambo yenu mnayajuaga wenyewe!
 
Social media wengi ni vilaza watamjualia wapi Prof ?Ma star wengi ni vilaza na maisha yao feki wanawadanganya vilaza wenzao ndo maana wanakuwa popular. Social media zimewapa plate-forme hata vilaza,idiots.

Huyu mtu, Prof Mbwete amechangia mambo mengi sana kwa ustawi wa Tanzania. Ni mhandisi wa ukweli. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele
 
Hakuna kitu cha hovyo, sema wewe hufaidiki nacho.

Maisha yanampa kila mtu fulsa, wewe kivyako na wao kivyao. Usomi sio uungu ni njia za utafutaji tu, na muziki na entertainment zingine ni hivyo hivyo.

Ukiwa upande mmoja usiudharau upande mwingine, hatuwezi wote kuwa sawa au kufanya kitu kimoja au kibachofanana duniani humu.

Na hata ukiwachukia haikufanyi wewe kuwa wa maana kuliko wao.
 
Ndio maana tupo masikini sana.....
baada ya kusaka maarifa kupitia vitabu au mafunzo tubadiliahe umasikini.....
tunachangamkia habari ambazo hazibadilishi
quality ya maisha yetu, so bad.
 
Cha kushangaza anazidiwa umaarufu hata na Kina Giggy money na Steve Nyerere hata ndan ya Corridor za vyuo vikuu vya Nchi ya uchumi wa kati

Society yetu imetawaliwa na watu wasiojielewa, wanaoendesha mambo kwa mahiri, kwa kutumia social media
 
... Prof. Chachage S. Chachage! Naye alishafariki muda sana tena ilikuwa ghafla tu.
 
Hii Agakhan hiii!! Yaani wengi wanaolazwa hapo wanakufa Why? Mmarangu Coach, Mze Makoi wa TRC Enzi hiyo, Mke wa Tale na Leo Prof Mbwete!! RIP Professor. Umetuachia urithi wa ViMbwete
Hii hospitali ni gharama lakini hakuna lolote
Wataalamu wa kihindi vijana walio some a udaktari vyombo havieleweki wote wana degree za kuungaunga.
Ni vigumu kuona serikali imelifumbia macho hili
Ni hospitali inaajiri wahindi kuliko wataalamu
Ni bora Muhimbili kuliko hii hospitali
Usafi na uzuri wa majengo wengi wanaamini na waganga wana degree lukuki za kutoa huduma wakapona. Wajawazito wengi wanapoteza maisha hapo.

RIP Professor
 
Social media wengi ni vilaza watamjualia wapi Prof ?Ma star wengi ni vilaza na maisha yao feki wanawadanganya vilaza wenzao ndo maana wanakuwa popular. Social media zimewapa plate-forme hata vilaza,idiots.
Hahaha ndio maisha yalivyo, wote tumo duniani humu humu. Ningefarijika kuona waliosoma wanahamia sayari za mbali ili kutengeneza hizo class.

Mbona kuna ma professors wa music na hata mashahiri au nyie kwa tafsiri zenu mtu wa maana ni nani hasa?!

Tujifunze ku-value binadamu wote hata wale wenye mitindio ya ubongo, hakuna binadamu wa hovyo.

Sasa idiots na vilaza wanapaswa kuishi wapi au waishi vipi?! Social media haisemi ni intellectual peke yao ndio wanapaswa kuitumia.

Miziki yao mnaisikiliza lakini waimbaji mnawaita vilaza, hahaha jamani tujifunze kuvumiliana hanuna anayependa kuitwa idiot au kilaza.

Hata ukuwa na mali nyingi, akili nyingi,na elimu kubwa bado wewe ni binadamu kama asiyekuwa na mali au akili na elimu.

Tusiwe watu wa hivyo, tuheshimiane jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…