Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,318
- 22,276
True!Hoja hujibiwa kwa hoja si kiwango cha elimu hata mimi sikuzipenda kauli zake za kumponda mbunge mwenzake!na kujimwambafya kwa elimu yake ambayo pia alionekana kachemka kwenye uwaziri wake, kama ameliona hilo kwamba alikosea ,basi atakuwa Muungwana.Alitakiwa aoneshe hicho kipimo sasa cha kutokuwa mjivuni! Kitendo cha kumjibu kwa dharai Mbunge mwenzake Ole Sendeka kwa sababu ya elimu yake ndogo/alifeli, kinamuondolea moja ya sifa aliyopewa na mtoa mada.
Mkuu kama hutojali tunaomba utukumbushe hoja zao wote wawili.True!Hoja hujibiwa kwa hoja si kiwango cha elimu hata mimi sikuzipenda kauli zake za kumponda mbunge mwenzake!na kujimwambafya kwa elimu yake ambayo pia alionekana kachemka kwenye uwaziri wake, kama ameliona hilo kwamba alikosea, basi atakuwa Muungwana.
Public figures have to keep their words and make use of collective leadership.Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Umerudisha hii I'd ya kiblazameni....Lala wewee
Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)Mimi nimekuelewa kuhusu hulka ya Muhongo kudharau watu, hilo halina ubishi. Labda kama kuna la ziada nyuma ya Uzi huu utuambie lakini kwa kweli Prof Muhongo ni mtu wa dharau kisawasawa.
Mkuu kama hutojali tunaomba utukumbushe hoja zao wote wawili.
Umeona eeh!kwa ujumla anachembe ya DHARAU.Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
Full stop ipo. Tazaka mwisho wa aya.Duh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!
Sio ana chambe. Wajita ndio walivyo.Umeona eeh!kwa ujumla anachembe ya DHARAU.
Jamaa lilikuwa very arrogant, na linatoa ukweli mchungu!Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
Hahahah upo chato au unaimba mapambio hapo lumumba? AmekwendraaaaaaMuhongo anapoamua kujifungulia uzi!
You are thinking outside the boxHahahah upo chato au unaimba mapambio hapo lumumba? Amekwendraaaaaa