Profesa Safari yuko wapi?


Wakuu.....Huyu dawa yake ni kumpuuza maana tukichangia upuuzi wake humu tunampa kichwa.....sijui kwanini hili neno c r a p limeondolewa JF otherwise unacomment hivyo unalala mbele..
 

ulitaka kunigusa kwenye hii hoja lakini ulipoingiza udini 2 tayari umeonekana ni mwendawazimu tena pumpkin head.
 

Huu udini unaouhubiri athari zake zipo,hakika ipo siku zitakuhusu.Leo unauzungumzia udini kesho utazungumzia ukabila keshokutwa utajihalalisha kwa rangi na mwisho wa siku utamuona hata aliekaa pembeni yako kuwa hafai.Udini unaohusisha na vyama/viongozi sio tabia nzuri na mwalimu aliwahi kulikemea hili"hatutamkataa mtu kwa ajili ya dini yake,pia hatutomchagua mtu kwa ajili ya dini yake"Pr Safari hayupo Chadema kwa ajili ya waislam tu,Ila prf Safari na viongozi wengine wote wapo/wanatenda mambo mbalimbali kwa maslahi ya taifa la Watanzania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…