DAWASCO na DAWASA iko kama TANESCO, hakuna maji mabombani, hakuna usambazaji wa maji wa kutosheleza wananchi, wateja wanaojulikana na hivyo vyombo ni wachache kuliko hali halisi, madeni yake hayakusanywi kwa nguvu zote, halafu bado tumpe uraisi.
KWANI KAFANYA NINI HASA KWETU SIE WANANCHI MPAKA TUMUONE ANAFAA???
Nchi imejaa vyanzo vya maji mpaka nchi jirani zinatuonea gere, yeye kakaa tu ofisini na u profesa wake, hatumsikii akipigania haki muhimu ya wananchi kupata maji, sasa leo akiingia IKULU hebu jiulizeni huyu bwana atatatusaidia NINI hasa?
Wananchi tumestuka, hatuwapi kura wapuuzi wanaokula hela bungeni na wizarani bila ya wao kuwajibika na sie kusema kweli yule au wale wanastahili malipo yale!