singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kwa kweli nami namkubali saana. Kwanza hakurupuki. Alitumia muda kukutana na wafanyakazi. Anan mikakati Excellent. Kuna watu wanasema anamwogopa Magufuli sidhan yeye kwa ujumla ni mtendaji mahiri. Mapungufu mengine basi tungeweka malaika!Yaani katika Mawaziri wa JPM ambao wanafanya vizuri, huyu Muhongo anaongoza