Profesa Mbarawa, acha ‘ushamba’!

Inanifanya nicheke kwa jibu lako ie "Prof amesoma lakini hajaelimika"na hapo napata shida kukubaliana na weye au kuku oppose.
Kwa ajuaye atujuze mwenendo wake wa masomo alipokuwa UDSM akichukuwa u Prof.
Hajasoma UDSN. Huyu kasoma nje, nadhani Australia, ingawa sina hakika sana.
 
Mkuu kwa mtazamo wako unahisi hiyo 30% ndiyo solutions ya time overrun ya project?
Pia elewa mikataba ya ujenzi siyo ya kukomoa other party ya mkataba.
Hicho kipengele unachopendekeza kitaongeza gharama za mradi na time overrun itabaki kama ilivyo.
Time overrun ni mrundikano wa matatizo mengi pamoja na poor design hususani kwenye project zenye misukumo ya siasa.
Unaweza kuta kwenye hii particular case jamaa hajaleta bomba kutokana na tofauti kubwa iliyopo kwenye mkataba na actual. Mfano kwenye mkataba ni 5km za bomba wakati Halisi ni 50km za bomba na mkandarasi kaomba ufafanuzi wa kuleta 50km kwani ndizo zilizopo halisi na hajajibiwa kwa wakati. Hapo unahisi hiyo 30% itakuwa ime solve hiyo issue?
Hayo mambo yanajadiliwa kwenye site meetings na ufumbuzi unapatikana
 
Tumesikia katika vyombo vya habari huyu waziri wa Maji akiagiza wafanyakazi wa mkandarasi wawekwe ndani siku 2 au tatu halafu wakitoka waandike "barua ya commitment" eti watamaliza vipi huo mradi.

Huu ni ushamba, pure and simple!

Mkataba wa kazi una vipengele lukuki kuongoza kazi.

Na je kama mkandarasi hajalipwa?

Katibu Mkuu Kiongozi, Eng John Kijazi ni mhandisi, kwanini hamkemei ushamba huu?
"Na je, kama Mkandarasi hajalipwa"?
Prof. Mbarawa atakuwa zaidi ya "Mshamba" kama ulivyomwita, kama anajua hivyo ndivyo na bado anaendelea kuweka watu hao kizuizini. Nami nitaunga mkono hoja yako hii asili mia.

Lakini hata wewe umeweka alama ya kuuliza, maana yake nawe hujui sababu zilizofanya Prof. Mbarawa akasirishwe kiasi hicho.
Kwa kifupi ni kwamba aliyechukua uamzi huo anazijua sababu za kufanya hivyo, kuliko huyu (wewe) unayemwita 'mshamba.' Tuwekee unayoyajua wewe.
 
Kwa mtizamo wangu tujadili bila kutumia maneno magumu. Hoja ya jidula likuhusu hatua alizochukua Mh. Waziri za kuwaweka ndani mafundi ndizo zinatia shaka .
 
Hayo mambo yanajadiliwa kwenye site meetings na ufumbuzi unapatikana
Mkuu hoja yako ni kuhusu 30% ya value ya Kazi ndiyo iwe base ya payment. Kwani itaondoa wakandarasi wajanjawajanja na hivyo projects zitakwisha kwa wakati.
Nami nakueleza kuwa hiyo haijawa sababu ya kuchelewesha project. Sasa unaposema kujadili kwenye site meeting sielewi vizuri
 
Inawezekana ushamba wa Professa Mbarawa ukawa unaanzia hapa?

"Unapopewa kazi lazima uwe mwadilifu, - yale mambo ya kupita kwenda wizarani mkawapa watu pesa yamekwisha.
Nimemaliza mitandao yenu na nitawamaliza wote."

Alisema baadhi ya makandarasi wanapewa fedha nyingi na serikali lakini hawafanyi kazi inayostahili.

"Hizi kazi mnazopata hapa ndio za mwisho 'unless' mimi nitoke kesho. Siwezi kuendelea na wakandarasi wa ovyo; wajanja wajanja, wanachonga kila kitu" alisema Professa Mbarawa

Na hiyo ya wakandarasi wajanja wajanja, wanaochonga kila kitu, inathibitishwa hapa jukwaani katika mada hii. Nimesoma habari za ukuta wa Merelani 'uliojengwa kwa tofali za mfuko mmoja wa simenti kwa tofali 60'?
Hilo nalo kweli linahitaji "Utaalam wa Kikandarasi"?

Maajabu makubwa haya. Nilisikia huko Wizara ya Maji kumeoza, sasa naamini sio huko tu. Uozo uko kila sehemu. Hawa 'Jamaa Masopya na mleta mada... kuna wakati wanatishia watu nyau!
 
Kwa mtizamo wangu tujadili bila kutumia maneno magumu. Hoja ya jidula likuhusu hatua alizochukua Mh. Waziri za kuwaweka ndani mafundi ndizo zinatia shaka .
"Maneno magumu" yapi tena? Ni wapi nilipotumia maneno magumu mkuu 'Jikombe'!
 
Ushamba ni kutojua miradi inaendeshwaje kitaalam.
wanasiasa waache mihemuko isiyo na tija ya showmanship.

Mpaka sasa mihemuko kama hii ya Mbarawa haisaidii serikali.
Mbawa kama ana ubavu si avunje tu mikataba!
Kisingizio cha kujificha kwenye kichaka cha "utaalam", kilishashakufa siku nyingi sana. Utaalam sio mali ya mtu na wala sio mali ya kikundi cha watu fulani hata kama watu hao wangekuwa na kisomo cha aina yao pekee na kisifananefanane na taaluma za watu wengine.

Professa Mbarawa achape kazi. Ameyaondolea maji machura yote yaliyokuwemo kwenye dimbwi la wizara ya maji.
 
Great..but mpaka Waziri kuja na kuona hayo madudu..where are the Supervision Engineer team..ambayo every month inacheck work progress na kutoa report..if there problems na what steps were taken..Kama uzembe uko kwa contractor or if there were any recommendations during any report to client kazi haiendi na contactor amelipwa tu na anazidi kutoperform Basi why clause ya termination of contract haikutumika on time haikutumika according to FIDIC unless kosa linakuwa upande client..may be due long non payment..kwa Mambo haya Ni ku angalia both parties..Engineer,client or contractor and what steps to be taken fairly to whoever failed to perform his duties accordingly, at right time when he was supposed to act according to FIDIC. Kama kosa Ni client or Engineer or contractor . always Fidic condition clauses zipo for what to be done in case of any scenarios. ..I think haiitaji rocket scientist kufikia kuamua project problems manake msaafu wa any project Ni FIDIC na what was done and paid accordingly to correctly approved works and what were monthly reports suggesting unless kazi za serikali hazina usimamizi makini hadi Waziri au Raisi afanye surprise visits..bt where and what was supervion team doing to reach to such problems. ..?????thanks
 
Mshaurini Prof kazi awape TBA au majeshi!
 
Thats the point mkuu, lakini watu ngazi hadi ya waziri profesa hawaelewi hilo.
 
MBONA MBALAWA AMEWASTAHI SANA , MIRADI MINGI YA MAJI TANGU AWAMU YA NNE INATIA KICHECHEFU SANA ,UKISIKIA UPIGAJI NDIO HUKO UMEPIGIKA KIKWELI KWELI NAKUMBUKA WALIKOPESHWA NA BANK YA DUNIA BIL 700 JAMAA WALINUNUA MA NISSAN YAKAWA YANAZURULA TU WAKAYAANDIKA PROGRAM YA MAJI ,SASA KICHEKESHO HAPO HAPO ENEO LA UBUNGO WANAPOYAPAKI HAPAKUWA NA MAJI .
 
Great..but mpaka Waziri kuja na kuona hayo madudu..where are the Supervision Engineer team..ambayo every month inacheck work progress na kutoa report..if there problems na what steps were taken..Kama uzembe uko kwa contractor or if there were any recommendations during any report to client kazi haiendi na contactor amelipwa tu na anazidi kutoperform Basi why clause ya termination of contract haikutumika on time haikutumika according to FIDIC unless kosa linakuwa upande client..may be due long non payment..kwa Mambo haya Ni ku angalia both parties..Engineer,client or contractor and what steps to be taken fairly to whoever failed to perform his duties accordingly, at right time when he was supposed to act according to FIDIC. Kama kosa Ni client or Engineer or contractor . always Fidic condition clauses zipo for what to be done in case of any scenarios. ..I think haiitaji rocket scientist kufikia kuamua project problems manake msaafu wa any project Ni FIDIC na what was done and paid accordingly to correctly approved works and what were monthly reports suggesting unless kazi za serikali hazina usimamizi makini hadi Waziri au Raisi afanye surprise visits..bt where and what was supervion team doing to reach to such problems. ..?????thanks
Thats the bone of contention.
inasikitisha kiongozi, tena msomi wa kiwango cha juu sana, kutotumia vigezo vya kitaalam kusimamia mradi.
 
Kisingizio cha kujificha kwenye kichaka cha "utaalam", kilishashakufa siku nyingi sana. Utaalam sio mali ya mtu na wala sio mali ya kikundi cha watu fulani hata kama watu hao wangekuwa na kisomo cha aina yao pekee na kisifananefanane na taaluma za watu wengine.

Professa Mbarawa achape kazi. Ameyaondolea maji machura yote yaliyokuwemo kwenye dimbwi la wizara ya maji.
Nyie mambumbumbu mnakera sana.
Kama utaalama hauhitajiki wakusanyeni madereva wa bodaboda na machinga wasio na kazi wakiongozwa na vilaza kama ninyi ili kutekeleza miradi ya Maji.
 
Unaona upumbavu wako. Ni wapi niliposema 'wataalam hawahitajiki"? Wasiohitajika ni 'wataalam' njaa kama nyinyi. In fact nyinyi sio wataalam, ni matapeli tu!
 
Back
Top Bottom