Profesa Lipumba...

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Wadau,nimekua nikimfuatilia kwa karibu sana mheshimiwa huyu,ambae ni mwenyekiti wa Taifa wa CUF, na mgombea urais mara 4 kwa tiketi ya chama chake....nafahamu kwamba kila mtu kajaliwa umbo lake na mwenyezi Mungu, lakini ni wazi kwamba kama mtu unapita kwenye misukosuko na shida nyingi,basi aghalabu afya huyumba...afya ya chama cha CUF haipo sawa, nguvu iliyokua nayo miaka ya nyuma kama chama ngangari na cha pili kwa umaarufu zimepungua au zimeisha kabisa...mojawapo ya watu ambao dhoruba hii huwapata moja kwa moja ni wahusika wa karibu katika kuendesha shughuli za chama...wote ni mashahidi jinsi TLP inavyomnyong'onyeza mzee wetu wa Kiraracha...Tofauti ninayoiona kwa CUF ni kwamba,wakati chama anachokiongoza Prof Lipumba kikizidi kuporomoka kwa umaarufu,yeye anazidi kunenepa na kunawiri haswa...wengine husema kunenepa ni kuridhika,hata ukila mawe..JE,PROF LIPUMBA ANARIDHIKA NA AFYA YA CHAMA CHAKE KAMA MWENYEKITI????
 
Ukiona hivyo ujue karidhika, na chama chake ndo baibai hvyo kitabaki kuwa chama cha kimkoa, Pemba tu na si kwingineko. Wameridhika na nafasi ya umakamu rais. Hawa watu wana uchu sana wa madaraka, wameshaonja ladha ya vyeo huko zenji na ndio maana wanalazimisha kuwepo kwenye kambi ya upinzani. Na cdm imewastukia kuwa ni mamluki.
 
Lipumba ni mwalimu wa chuo na mtafiti, anaheshimika Tanzania na duniani kwa ujumla.

Chama chake kiko safi ki-organization ila hamasa imepungua kwasababu mbalimbali

Wanatakiwa kuangalia namna nzuri ya ku-deal na media, recruitment of new members

Hana sababu ya kukonda kama unavyofikiri..kwakuwa siasa ni maisha na ni lazima maisha yaendelee hata kama kuna matatizo..
 
Mkubwa kunatofauti gani ya CUF na CCM ? Maana akigushwa mmoja wapo lazima ulete majeshi
 
Prof. Ibrahim Lipumba's Profile

Professor Nguyuru Ibrahim Haruna Lipumba (born 6 June 1952) is a Tanzanian economist, politician and chairman of the Civic United Front (CUF) party.
Although he is more known for his involvement in the political arena, Professor Lipumba, born in the Tabora region of Tanzania, and holding a doctorate in Economics from Stanford University is a prominent scholar (professor of economics). He has held a number of positions in the field of education, as a University Professor both in the United States and at home; and as a freelance economist -having been the economic adviser to the Ugandan government in the late 80s to early 90s.
Professor Lipumba has held the position of Chairman of Tanzania's main opposition party, the Civic United Front from 1995 to present day. He has also contested every presidential election in Tanzania since the country instituted a multiparty system in the early 1990s. In the first election in 1995, he placed third and won 6.43% of the vote. He finished second behind incumbent President Benjamin Mkapa in 2000, capturing 16.26% of the vote.
Running again as the CUF presidential candidate in the 14 December 2005 elections, Lipumba again finished second to Jakaya Kikwete of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party winning 11.68% of the vote.
Professor Lipumba is a skilled orator drawing large crowds for his rallies; he is also an intellectual at heart and continues his career as a freelance economist albeit on a smaller scale due to political commitments.

Curriculum Vitae for Prof. Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA:
Date of Birth: 6th June 1952
Marital Status: Married

Field of expertise:

  • International Trade and Finance, Macroeconomics
  • Development Economics and Agricultural Economics

Current research focus:

  • Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa
  • Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa
  • Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa

Education:

  • 1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
  • 1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

  • 1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
  • 1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

Employment:

  • 1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
  • 1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
  • 1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.
  • 1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
  • 1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
  • Salaam.
  • 1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to:

  • The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
  • Swedish International Development Agency (SIDA),
  • NORAD,
  • DANIDA,
  • Ministry of Foreign Affairs Finland,
  • Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
  • Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation
Nadhani kwenye hii rangi nyekundu ndio inayomfanya anenepe, ni mawazo yangu tu.

Other Responsibilities:

  • 2005, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2005.
  • 2000, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
  • 1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.
  • 1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.
  • 1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
  • 1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
  • 1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.
  • 1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.
  • 1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.
  • 1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania
  • 1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

Selected Publications:

  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
  • The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.
  • Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
  • Tanzania.
  • The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
  • Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
  • Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
  • "Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.
  • "Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
  • "The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
  • "Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).
  • "A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
  • "Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
  • "The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.
  • "Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
  • The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
  • Proceedings. 1988.
  • Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
  • The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
  • Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York 1991.
  • Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.
  • Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.
  • Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries. United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
  • and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
  • African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.
  • "Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
  • "The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, Mefmi – Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
  • "Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.
  • "Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999
  • "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.
My Take:

Huyu jamaa ni consultant wa mambo ya uchumi nadhani atakuwa na sorce zake za income na hategemei chama peke yake. Ni mawazo yangu tu

Kisha msome hapa : http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
 
Lipumba ni mwalimu wa chuo na mtafiti, anaheshimika Tanzania na duniani kwa ujumla.

Chama chake kiko safi ki-organization ila hamasa imepungua kwasababu mbalimbali

Wanatakiwa kuangalia namna nzuri ya ku-deal na media, recruitment of new members

Hana sababu ya kukonda kama unavyofikiri..kwakuwa siasa ni maisha na ni lazima maisha yaendelee hata kama kuna matatizo..

Asante sana mkubwa kwa uchambuzi mfupi na yakinifu!!!
 
Prof. Ibrahim Lipumba’s Profile

Professor Nguyuru Ibrahim Haruna Lipumba (born 6 June 1952) is a Tanzanian economist, politician and chairman of the Civic United Front (CUF) party.
Although he is more known for his involvement in the political arena, Professor Lipumba, born in the Tabora region of Tanzania, and holding a doctorate in Economics from Stanford University is a prominent scholar (professor of economics). He has held a number of positions in the field of education, as a University Professor both in the United States and at home; and as a freelance economist -having been the economic adviser to the Ugandan government in the late 80s to early 90s.
Professor Lipumba has held the position of Chairman of Tanzania’s main opposition party, the Civic United Front from 1995 to present day. He has also contested every presidential election in Tanzania since the country instituted a multiparty system in the early 1990s. In the first election in 1995, he placed third and won 6.43% of the vote. He finished second behind incumbent President Benjamin Mkapa in 2000, capturing 16.26% of the vote.
Running again as the CUF presidential candidate in the 14 December 2005 elections, Lipumba again finished second to Jakaya Kikwete of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party winning 11.68% of the vote.
Professor Lipumba is a skilled orator drawing large crowds for his rallies; he is also an intellectual at heart and continues his career as a freelance economist albeit on a smaller scale due to political commitments.

Curriculum Vitae for Prof. Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA:
Date of Birth: 6th June 1952
Marital Status: Married

Field of expertise:

  • International Trade and Finance, Macroeconomics
  • Development Economics and Agricultural Economics

Current research focus:

  • Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa
  • Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa
  • Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa

Education:

  • 1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
  • 1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

  • 1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
  • 1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

Employment:

  • 1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
  • 1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
  • 1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.
  • 1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
  • 1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
  • Salaam.
  • 1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to:

  • The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
  • Swedish International Development Agency (SIDA),
  • NORAD,
  • DANIDA,
  • Ministry of Foreign Affairs Finland,
  • Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
  • Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation

Other Responsibilities:

  • 2005, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2005.
  • 2000, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
  • 1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.
  • 1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.
  • 1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
  • 1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
  • 1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.
  • 1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.
  • 1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.
  • 1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania
  • 1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

Selected Publications:

  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
  • The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.
  • Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
  • Tanzania.
  • The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
  • Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
  • Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
  • “Macroeconomic Management of the Tanzania Economy”, International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.
  • “Policy Reforms for Economic Development in Tanzania”, published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
  • “The Global Trading System and Economic Development of Tanzania” in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
  • “Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania” in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).
  • “A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania” Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
  • “Market Liberalization and Food Security in Tanzania”, with Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
  • “The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania”, in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.
  • “Reflections on Economic Development in Tanzania”, in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
  • The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
  • Proceedings. 1988.
  • Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
  • The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
  • Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York 1991.
  • Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.
  • Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.
  • Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries. United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
  • and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
  • African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.
  • “Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa” in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
  • “The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa” UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
  • “An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – Namibia.” A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • “An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – The Kingdom of Swaziland.” A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • “The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, Mefmi – Midterm Review” Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
  • “Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?” in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.
  • “Globalization of Finance and Development Prospects in Africa.” In UNDP Cooperation South No. 1 1999
  • “Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa” Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.
My Take:

Huyu jamaa ni consultant wa mambo ya uchumi nadhani atakuwa na sorce zake za income na hategemei chama peke yake. Ni mawazo yangu tu

Kisha msome hapa : http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
 
Mwenye CV ya Mrema jamani atuwekee ili tuweze kuwatathmini wote kwa pamoja pengine ya Mrema itakuwa ya kushinda ya Lipumba ili tuweze kumhukumu vizuri. Nimejaribu ku google sijapata kitu.
 
Prof. Ibrahim Lipumba's Profile

Professor Nguyuru Ibrahim Haruna Lipumba (born 6 June 1952) is a Tanzanian economist, politician and chairman of the Civic United Front (CUF) party.
Although he is more known for his involvement in the political arena, Professor Lipumba, born in the Tabora region of Tanzania, and holding a doctorate in Economics from Stanford University is a prominent scholar (professor of economics). He has held a number of positions in the field of education, as a University Professor both in the United States and at home; and as a freelance economist -having been the economic adviser to the Ugandan government in the late 80s to early 90s.
Professor Lipumba has held the position of Chairman of Tanzania's main opposition party, the Civic United Front from 1995 to present day. He has also contested every presidential election in Tanzania since the country instituted a multiparty system in the early 1990s. In the first election in 1995, he placed third and won 6.43% of the vote. He finished second behind incumbent President Benjamin Mkapa in 2000, capturing 16.26% of the vote.
Running again as the CUF presidential candidate in the 14 December 2005 elections, Lipumba again finished second to Jakaya Kikwete of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party winning 11.68% of the vote.
Professor Lipumba is a skilled orator drawing large crowds for his rallies; he is also an intellectual at heart and continues his career as a freelance economist albeit on a smaller scale due to political commitments.

Curriculum Vitae for Prof. Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA:
Date of Birth: 6th June 1952
Marital Status: Married

Field of expertise:

  • International Trade and Finance, Macroeconomics
  • Development Economics and Agricultural Economics

Current research focus:

  • Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa
  • Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa
  • Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa

Education:

  • 1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
  • 1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

  • 1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
  • 1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

Employment:

  • 1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
  • 1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
  • 1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.
  • 1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
  • 1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
  • Salaam.
  • 1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to:

  • The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
  • Swedish International Development Agency (SIDA),
  • NORAD,
  • DANIDA,
  • Ministry of Foreign Affairs Finland,
  • Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
  • Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation

Other Responsibilities:

  • 2005, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2005.
  • 2000, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
  • 1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.
  • 1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.
  • 1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
  • 1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
  • 1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.
  • 1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.
  • 1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.
  • 1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania
  • 1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

Selected Publications:

  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
  • The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.
  • Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
  • Tanzania.
  • The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
  • Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
  • Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
  • "Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.
  • "Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
  • "The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
  • "Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).
  • "A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
  • "Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
  • "The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.
  • "Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
  • The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
  • Proceedings. 1988.
  • Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
  • The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
  • Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York 1991.
  • Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.
  • Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.
  • Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries. United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
  • and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
  • African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.
  • "Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
  • "The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, Mefmi – Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
  • "Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.
  • "Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999
  • "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.
My Take:

Huyu jamaa ni consultant wa mambo ya uchumi nadhani atakuwa na sorce zake za income na hategemei chama peke yake. Ni mawazo yangu tu

Kisha msome hapa : http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf

Hatumii ofisi inalipiwa na chama chake kufanya kazi zake binafsi kitu ambacho ni kinyume na maadili ya uongozi? au ana ofisi anayotumia tofauti na ile ya Buguruni?
 
Naamini atakua amesaidia sana mkoa anaotoka-Tabora coz ni bomba ya CV aisee!!!
 
Mohamed Shossi,

..kazi za ushauri kwa mashirika ya kimataifa anazofanya Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba ndizo zinazosababisha akakosa muda wa kukitumikia chama na kupelekea CUF izorote. Prof. anatakiwa achague SIASA au CONSULTANCY.

..nakumbuka NCCR nayo ilipatwa na matatizo kama yanayoikumba CUF sasa hivi. viongozi[Marando,Ringo Tenga,Lamwai,Mvungi,] wake walikuwa busy na kusaka pesa kama wanasheria wa kujitegemea na kufanya kazi za chama jioni baada ya saa za kazi.
 
Hili nalo neno!!!
 
Back
Top Bottom