Profesa Lipumba utawajibika kwa kifo cha CUF

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anayekupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.

Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha cuf wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya cuf na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anaye kupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.View attachment 2545903
Yeye akibaki na Magdalena Sakaya tu inatosha
 
Mmeshamuanzia na Lipumba pia baada ya kumdestroy Mbatia? Msije mdunga tu pia, siyo kila mtu lazima auze utu wake to the devil!
 
Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha cuf wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya cuf na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anaye kupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.View attachment 2545903
Huyu ndiye profesa alihamia ofisini na miswaki taulo na sabuni za kuogea
 
Lipumba ni hopeless creature! Huwa hana aibu... mradi anapata platform ya pilau kwake inamtosha sana. Ni aibu na fedheha sana sana kuwa na baba aina ya Lipumba ptuuuuh!
Ni aibu sana kiongozi kwa tabia kama zake anaweza akaamua kuiuza hata familia yake
 
Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anayekupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.

Mbowe jeeee
 
Back
Top Bottom