Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,991
- 26,109
Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.43yrs ni prof mtoto? Hujaona wewe
Prof Lipu aliupata akiwa na ngapi?
26 kivipi? Alimaliza degree lini na hizo za kabla ya uprof?Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kumbe nikisoma naweza kupata upro nikiwa na umri mdogo zaidiKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kupata Ph.D ukiwa na miaka 26 si ajabu, inategemea na mfumo. Yeye alisomea IST akarukia mifumo ya Ulaya kumaliza shule mdogo sana.26 kivipi? Alimaliza degree lini na hizo za kabla ya uprof?
Alichukua PhD?Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kwa akili zip?Kumbe nikisoma naweza kupata upro nikiwa na umri mdogo zaidi
What a waste!!Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
36
Prof Kighoma Malima at 34 Nchini Marekan akitokea Minaki Secondary
Dr Dau alipata Phd akiwa na 28 Nchini Newzeland 1992
Dr Gharib alipata phd ya Nuclear akiwa na 31 Nchini Marekan
Dr Mahiga the same
1976 mtoto? 43yrs old..!!