Unafeli sana kwa kauli yako hii. Rais hakujiweka hapo Bali tulimuweka sisi na anatakiwa atende kwa kutusikiliza sisi tuliompa ridhaa na siyo kujisikiliza mwenyewe na kikundi Cha mabest wake! Hatufiki na hatutafika tulikotarajia kufika! Rais asikilize wapigakura wanachoona na mawazo yao ayafanyie kazi na hapo ndipo umuhimu wa taasisi ya urais itakapoonekana imetenda tofauti na yeye! Kwa ujumla, kabudi hakufaa kuongoza kokote!