Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

Labda uzee umemuandama akidhani hadhira yake ni ile ya miaka ya 1970 enzi hizo tukiitwa wadanganyika.
 
Ni ukweli mtupu embargo nchini Zimbabwe inawaathiri womens, childrens, old mens etc.

Na the lest of the world inajuwa kuwa Zimbabwe mpya ina move in a right directions!

Kwa wenye uelewa uzito wa maneno haya machache basi yanatosha kuondoa sanctions nchini Zimbabwe.

Mabeberu musiwe na roho za kishetanii!
 
Kuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Umenikumbusha kishika uchumba mpaka leo tumekata keseni za kuendesha Noah lakini hata boda boda hatukupata mambo yametugeukia tena tunatakiwa kutoa 20,000/= kila kichwa eti za kitambulisho cha kuhangaikia maisha. Yule Niga hatari sana kwa jinsi alivyotudanganya
 
Muacheni Kabudi..ni genious 💪 maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.

Nawaangaliaga tu.

Ww utakuwa ni mchepuko wa Kabudi. Labda kama sio hoja bali ubishani, lakini kwa hoja huishia kuongea historia zisizo na maana yoyote.
 
Mimi ni msomi lakni siamini kama wasomi wa Tz wanaweza kututoa hapa tulipo. Kwanza wengi wa mapHd holder wana njaa Kali wanapopata nafasi hawawezi kuwa/kubeba njozi ya taifa.

Halafu issue ya uteuzi wa kumteua mtu ambae HAKUTARAJIA unamfanyia surprise ni hatari sana always they won't meet standards.
 
Lakini mbona rais akiwa Zimbabwe ameiomba jumuiya ya kimataifa.kuiondolea vikwazo Zimbabwe je huko sio kupiga magoti?
 
Dah. Mkuu umechambua vizuri sana. Nimeumia sana
 
Binafsi nilimshangaa sana kabudi. Lakini hiyo ni hurka ya watu wengi waliopita pale chuo cha mlimani. kile chuo bado kimekumbatia dhana za zamani za siasa za kijamaa katikati ya vita baridi.
 
Aliyewasifia wazungu kuwa ni WANAUME na kuwa watatupa kishika uchumba ni nani?
Kamanda! hivi aliwaita WANAUME au umewawaza tu WANAUME?
ebu rusha hiyo clip na sisi tumshangae mkuu.
 
Kuomna watu kuja kuwekeza Nchini ni kuomba msaada? Wewe ni mbumbumbu plus au labda umelenga nyumbu wenu wa humu! Hiyo ni biashara bro!
 
Muacheni Kabudi..ni genious
maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.

Nawaangaliaga tu.
Bahati mbaya magenius ndio wanafeli maisha zaidi ya kupata mshahara,hawafikirii nje ya box
 
Nimesoma huko juu na kugundua Andiko lote litakua limejaa UPUMBAVU. Rais hajaomba msaada Namibia, Kaomba wawekezaji. Je huku ni kupiga magoti?Mtu akija kuwekeza hapa ndio kuomba Msaada?Umeleta story za simu,saa,nguo na mashuka nk kutoka nje. Je hivyo vitu vinakuja bure kama misaada?Hivi unaelewa maana ya Msaada?Unaketewa net au ARV na unaambiwa usaini makubaliano flani kuhusu madini na makampuni yao. Huo ni msaada au Biashara iliyojificha kwenye kivuli cha Msaada?Sikia,HAKUNA KITU KINAITWA MSAADA.Kama una AKILI TIMAMU utaelewa.
 
Unatoa tu mimacho eti "hatutapiga magoti". Wakati kuna watu mliwapelekea bili ya TRILIONI 400 wakawashusha mpaka BILIONI 700 mkawaita wanaume

profesa tumbo
 
Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?
Waseme nini kwa uharo? waseme nini kwa mfamaji anayetukana badala ya kuomba msaada? unataka wafukuzane na mwendawazimu ili nao waonekane wendawazimu?

Halafu hili neno NIGGAZ unajitukana mwenyewe
 
Waseme nini kwa uharo? waseme nini kwa mfamaji anayetukana badala ya kuomba msaada? unataka wafukuzane na mwendawazimu ili nao waonekane wendawazimu?

Halafu hili neno NIGGAZ unajitukana mwenyewe


Sasa kwa nini house niggaz mnatoka povu kama mlengwa mwenye Muzungu wala hajali anaitwa nini na nani?
 
Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?
Sasa ulitaka waseme nini mkuu, hawana sababu ya kufanya hivyo na hawataki mashindano wao wanatizama tu huku wakicheka kwa dharaaau.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…