Wapo watu pia bado watapinga ulichoandika hao wameanza!
Wazungu wan akili wewe.Nimeona trump kapiga picha na kabudi
Imasemekana kwa Africa alichagua kupiga picha na kabudi pekee km heshima kwa African hero Magufuli
Nimeona trump kapiga picha na kabudi
Imasemekana kwa Africa alichagua kupiga picha na kabudi pekee km heshima kwa African hero Magufuli
Taifa linahitaji wazalendo wenye akili siyo jingalao. Akina Jingalao hawawezi kuelewa hata maana ya uzalendo.Profesa kabudi kapindua meza haswa !
Mpango mkakati wakina lissu na wazungu wavurugaji wa mataifa ya afrika kutaka kuichafua Tanzania umekwama na Tanzania kama Taifa limesimama upya mbele ya mimbari ya kimataifa.
Vibaraka wamehangaika sana na wameendelea kuhaingaika kuiporomosha amani ya Tanzania bila mafanikio.
Lissu ameingia kwenye kundi la kina Mange yaani waliojaribu na kufail kwa fedheha.
Tanzania imekuwa imara na mfano wa kuigwa duniani...
It is business unusual...!!!
Wakora wanaotaka kuleta mradi wa kukabili ebola wameangukia pua big time...Tanzania imewajibu kuwa inaboresha afya ya msingi kwa wote kivitendo na inaionesha dunia kuwa inawezekana.
Magufuli kaletwa kufanya kazi sio kupendwa na walami au mafisadi.
Chaguo langu limekuwa sahihi maradufu...kazi na matokeo ya kazi yanaonekana na wananchi wanakiri !
hivi punde mzalendo mimi nitaenda kuhuisha kadi yangu ya CCM.
VIVA JPM ALUTA CONTINUA!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mna hoja za msingi nyinyi? zaidi tu ya kujipanga na kuanzisha mada nyingi za kipuuzi zenye mlengo mmoja wa kumsifia malaika wenu?
Lile sanamu? Trump sio beberu?Nimeona trump kapiga picha na kabudi
Imasemekana kwa Africa alichagua kupiga picha na kabudi pekee km heshima kwa African hero Magufuli
Lile sanamu? Trump sio beberu?
Harufu chafu hukaa jalalani na inajulikana mzee wa majalala ni nani....
Mkuu nimesikia hao vibaraka sasa wameanza kuomba vibarua huko majuu vya kama wanasheria wa mambo ya ushoga.Profesa kabudi kapindua meza haswa !
Mpango mkakati wakina lissu na wazungu wavurugaji wa mataifa ya afrika kutaka kuichafua Tanzania umekwama na Tanzania kama Taifa limesimama upya mbele ya mimbari ya kimataifa.
Vibaraka wamehangaika sana na wameendelea kuhaingaika kuiporomosha amani ya Tanzania bila mafanikio.
Lissu ameingia kwenye kundi la kina Mange yaani waliojaribu na kufail kwa fedheha.
Tanzania imekuwa imara na mfano wa kuigwa duniani...
It is business unusual...!!!
Wakora wanaotaka kuleta mradi wa kukabili ebola wameangukia pua big time...Tanzania imewajibu kuwa inaboresha afya ya msingi kwa wote kivitendo na inaionesha dunia kuwa inawezekana.
Magufuli kaletwa kufanya kazi sio kupendwa na walami au mafisadi.
Chaguo langu limekuwa sahihi maradufu...kazi na matokeo ya kazi yanaonekana na wananchi wanakiri !
hivi punde mzalendo mimi nitaenda kuhuisha kadi yangu ya CCM.
VIVA JPM ALUTA CONTINUA!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Aliyesema katolewa jalalani ni nani? Hapo nani kafanya personal attacks? Ukisema umejisaidia barabarabi sisi tukakusikia na tukasema harufu ya haja yako tunakuwa na makosa gani?Tujadili hoja tuache personal attacks
Wewe huyo Sultan wenu wa Chadema mbona hamuachi kumsifu? Mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 24 eti bad mnamchagua !! Halafu mnajinasibu hiyo ni Demokrasia !! Wajinga ndiyo waliwao