Profesa Kabudi ameondoa harufu chafu ya vibaraka wa walami

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Profesa kabudi kapindua meza haswa !
Mpango mkakati wakina lissu na wazungu wavurugaji wa mataifa ya afrika kutaka kuichafua Tanzania umekwama na Tanzania kama Taifa limesimama upya mbele ya mimbari ya kimataifa.
Vibaraka wamehangaika sana na wameendelea kuhaingaika kuiporomosha amani ya Tanzania bila mafanikio.
Lissu ameingia kwenye kundi la kina Mange yaani waliojaribu na kufail kwa fedheha.

Tanzania imekuwa imara na mfano wa kuigwa duniani...

It is business unusual...!!!

Wakora wanaotaka kuleta mradi wa kukabili ebola wameangukia pua big time...Tanzania imewajibu kuwa inaboresha afya ya msingi kwa wote kivitendo na inaionesha dunia kuwa inawezekana.

Magufuli kaletwa kufanya kazi sio kupendwa na walami au mafisadi.

Chaguo langu limekuwa sahihi maradufu...kazi na matokeo ya kazi yanaonekana na wananchi wanakiri !
hivi punde mzalendo mimi nitaenda kuhuisha kadi yangu ya CCM.

VIVA JPM ALUTA CONTINUA!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ile speech yake ndiyo tumeona kuwa ukombozi! Hatuna ubavu wa kupambana na hizi nchi giants.
 
Taifa linahitaji wazalendo wenye akili siyo jingalao. Akina Jingalao hawawezi kuelewa hata maana ya uzalendo.
 
Wakina jingalao ni wachache sana katika Taifa ni wazalendo wa kweli na wataendelea kuwepo na kuwa nurtured!
 
Wewe huyo Sultan wenu wa Chadema mbona hamuachi kumsifu? Mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 24 eti bad mnamchagua !! Halafu mnajinasibu hiyo ni Demokrasia !! Wajinga ndiyo waliwao
Mna hoja za msingi nyinyi? zaidi tu ya kujipanga na kuanzisha mada nyingi za kipuuzi zenye mlengo mmoja wa kumsifia malaika wenu?
 
Ile hotuba angeitoa JPM mwenyewe ndio ingekuwa na mashiko. Mbona hayati Robert Mugabe alikuwa haogopi kwenda UN na kuwatandika wote.
 
Profesa kabudi kapindua meza haswa !
Mpango mkakati wakina lissu na wazungu wavurugaji wa mataifa ya afrika kutaka kuichafua Tanzania umekwama na Tanzania kama Taifa limesimama upya mbele ya mimbari ya kimataifa.
Vibaraka wamehangaika sana na wameendelea kuhaingaika kuiporomosha amani ya Tanzania bila mafanikio.
Lissu ameingia kwenye kundi la kina Mange yaani waliojaribu na kufail kwa fedheha.

Tanzania imekuwa imara na mfano wa kuigwa duniani...

It is business unusual...!!!

Wakora wanaotaka kuleta mradi wa kukabili ebola wameangukia pua big time...Tanzania imewajibu kuwa inaboresha afya ya msingi kwa wote kivitendo na inaionesha dunia kuwa inawezekana.

Magufuli kaletwa kufanya kazi sio kupendwa na walami au mafisadi.

Chaguo langu limekuwa sahihi maradufu...kazi na matokeo ya kazi yanaonekana na wananchi wanakiri !
hivi punde mzalendo mimi nitaenda kuhuisha kadi yangu ya CCM.

VIVA JPM ALUTA CONTINUA!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mkuu nimesikia hao vibaraka sasa wameanza kuomba vibarua huko majuu vya kama wanasheria wa mambo ya ushoga.
 
Wewe huyo Sultan wenu wa Chadema mbona hamuachi kumsifu? Mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 24 eti bad mnamchagua !! Halafu mnajinasibu hiyo ni Demokrasia !! Wajinga ndiyo waliwao

Mimi ni mpenda mabadiliko tu na wala si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa. Hivyo hiyo kesi ya Sultan wa Chadema huna budi kuishtaki kwa akina Mmawia, Salaru Slip, Yerico Nyerere, na wengineo.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom