Profesa Jay

Prof sasa atafute tu ajira kama akina sos b yuko pale maesky anaprint bill of lading na kusubiri mwisho wa mwezi
 
Kuna kelele fulani nazskia nyumbani kwa jirani yangu ambaye amenunua Jukeboxe ya Mchina zina sauti kama ya Prof.Jay nikadhani labda Jukeboxe yake ni MBOVU...Duuuh...
 
nadhani kuna tatizo la uveniga humu si taki kuwaaminisha but jay yupo juu na wimbo ni next level tubadilike japo kidogo amekuja kivingine
 
Excuse me? Vinega? C'mon nimetoa hoja yangu na sababu zake, what does it have to do with Vinega?
 
profesa Jay alitakiwa kuwa level nyingine ki kipato ili sasa awe activist wa music,kuwainua vijana na kutetea maslahi ya wasanii na hata kupiga nao colabo huku yeye akipata muda wa kutosha kujipanga upya.hana jipya kwasasa
 
haiwezekani msanii kama Jay anakomaa na soko la muziki likiwa hovyo hivi na kama legendary hafanyi harakati zozote kupigania maslahi yao.Profesa haitoshi kupigana vikumbo kwenye soko na vijana,go beyond that
 
Tell 'em. He is supposed to Think Big
 
I am a big fun of prof jay..i dont think that he's done!
lets be patient i think he's one of the best in Tz
 
jaman pro j alikuja mwanza kwenye fiesta ya radio ya wafuu! yaani alitia haibu sn alisahau nyimbo zake then sauti iligoma coz ya mafuta kooni,ilibid mwanafa aje kumsaidia
 
He can have all the time he wants in the world but he has to know that everytime he drops a whack joint people ain't supporting anymore!
 
jaman pro j alikuja mwanza kwenye fiesta ya radio ya wafuu! yaani alitia haibu sn alisahau nyimbo zake then sauti iligoma coz ya mafuta kooni,ilibid mwanafa aje kumsaidia

Hahaha, mafuta kwenye koo! Mi hoi, hahaha. Give the heavyweight a break :lol:
 
Ujue msanii kama profesa Jay ameimba vitu vingi sana nahisi ameshamaliza vyote,so mziki ulivyo hauwezi ukawaridhsha wote,km wewe unampenda jay aki rap with hard lyrics subiri ngoma yako kama huipend hii pga kmya kuna watu wanaipenda had wanai request redion yoo
 
Nani asiyekujua unasifia wanyonyaji na hao wafu fm,ngoja wakunyonye na wewe uzikwe na chupi peke yake
 
Ujue msanii kama profesa Jay ameimba vitu vingi sana nahisi ameshamaliza vyote,so mziki ulivyo hauwezi ukawaridhsha wote,km wewe unampenda jay aki rap with hard lyrics subiri ngoma yako kama huipend hii pga kmya kuna watu wanaipenda had wanai request redion yoo

Nani alikuambia vitu vya kuimba vinaisha? Kwahiyo hiyo ndo sababu ya kutoa track ya bei rahisi? Labda hujanielewa.

Unapokuwa na msanii mkongwe, tena kabatizwa kuitwa Profesa badala ya Nigga na siku hizi wanamwita Heavyweight MC huwezi kutegemea atoe track nyepesi kama Kamiligado. Basi!
 
nadhani kuna tatizo la uveniga humu si taki kuwaaminisha but jay yupo juu na wimbo ni next level tubadilike japo kidogo amekuja kivingine
Umenena vema wimbo umetulia zingine ni chuki binafsi,kibongo bongo huhitaji level kubwa zaidi ya ile,kalinda heshima na kalitendea haki jina lake
 
Wabongo tunakuwa wagumu sana kukubali critics. Kama mtu hakubaliani na wewe basi unakimbilia chuki binafsi. Why would I hate Prof. Jay while he is the legend who made me fall in love with Bongo Flava in the 1st place?

Pinga hoja yangu na sababu ya msingi sio unakurupuka tu!

Eti huhitaji level kubwa zaidi ya ile. Ile sio level kubwa in the 1st place. Alaf kama kila msanii akistick na level ile wataua game but luckily enough wapo wanaoona mbele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom