MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
mweeeh!!!
Kila chenye mwanzo kina mwisho..
Professor ameamua kubadilika na kutoka kivingine. Siyo lazima kila muda mashairi yawe magumu. Muda mwingine unalegeza kidogo ili uwashike kinadada ambao kiuhalisia ndiyo wanunuzi wakubwa wa kazi zetu. Mimi mwenyewe nina mpango wa kubadili staili kabisa na kuanza kumuiga Lil Wyne.
Kwli ukizeeka akila zinakua za kitoto j ma fevorate katoka ki undrground.
wakali wapya wanawatia wazimu wakongwe mpaka hawajui wanataka kuimba nini!......siyo huyo tu ana wenzake ferouz sijui kaimba uozo gani,FA nae analazimisha lakini wapi japo video kaitolea macho lakini mvuto hapana,AY kachanika kama vijana noma kaamua kuangalia nje ya bongo na kufanya collabo na wakali wa nje japo kimtazamo wangu nae hana jipya!diamond,ally kiba,izzo B,godzilaa na wengine wanawanyima wakongwe usingizi!!!mwanangu TID nae naona chali kuanzia kuimba mpaka mvuto kawa babu si babu!Hemed PHD kakamata na kumuhanyisha TID......
Nakubali kuna kubadilika, lakini kubadilisha style haimaanishi tunataka kusikia mashairi ya kawaida kila siku. Who wants to hear, 'nakupenda, sitokutenda' everyday. Where is the creativity in rhyming?
mweeeh!!!
Sidhani kama kuna haja ya kulalamika juu ya wingi wa mashairi ya mapenzi. Binadamu tumeumbwa kupenda na siku zote ni mapenzi ndiyo yanayokimbiza ulimwengu, utake usitake. Ulitaka waimbe juu ya CCM na CHADEMA?
Where is the creativity in rhyming?