chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
Inahusiana nini na hiyo mada hapo juu au ndo kuchafuana?Kama ana ngoma ipige uchezeWalisemaga ana ngoma huyu Jamaa. Sasa......
umeona eeeh!nakumbukaga hata mie nliskiaga hvyoo!Walisemaga ana ngoma huyu Jamaa. Sasa......
Wabongo tunapenda umbea sana. Kwa muda fulani nimeaminishwa kuwa mwanamitindo wa Wemba yuko timu ya upinzani. Surprisingly, kwenye mkasi anasema ana mtoto toka form aliyempata akiwa form two! Sio vizuri kuchafuliana majina bila uhakika wala sababu ya msingi.Walisemaga ana ngoma huyu Jamaa. Sasa......
Zali la Mentali!Huyo demu mwizi tu, angalia macho yake.
Aliyekuambia bwabwa hazai nani? Haukuambiwa ni hanithi usichanganye manenoWabongo tunapenda umbea sana. Kwa muda fulani nimeaminishwa kuwa mwanamitindo wa Wemba yuko timu ya upinzani. Surprisingly, kwenye mkasi anasema ana mtoto toka form aliyempata akiwa form two! Sio vizuri kuchafuliana majina bila uhakika wala sababu ya msingi.
Sio kuchanganya maneno, natambua kuna watu kabisa wameoa lakin sio wenzetu. Kuna mabaunsa, lakini sio wenzetu. Hoja yangu ni kuwa suala ya huyo dogo ni la kufikirika zaidi (far fetched) kuliko uhalisia.Aliyekuambia bwabwa hazai nani? Haukuambiwa ni hanithi usichanganye maneno
Walisemaga ana ngoma huyu Jamaa. Sasa......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani umeambiwa kapona??..