ππ ingekuwa hivyo wangestop kutengeneza hao bonite na wenzake,, mitano tena kwa bwana pepsi na fanta orange, pasi na kumsahau bitter lemon & ginger ale π₯π₯πΉ
Mbona ameanza kuwa Famous kitambo tangu kwa Jiwe akiwa Kiongozi wa JKaya kikwete Cardiac.
Kabla ya kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ..
Shida kubwa kuna Maproffesor ambao wanapenda kuonekana..