mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Mbona nyie kwenye mbio za mwenge mnasomba vitoto vya shule.Ukiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Mbona nyie kwenye mbio za mwenge mnasomba vitoto vya shule.Ukiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Kufanya kazi ya Mungu hakuhitaji malipo , mimi nalipa zaidi kwa Chadema na sadaka zingine na kusaidia wenye shida na wanaoonewa .
Mtu asiyekubalika inawezekanaje kumtumia mamluki wanaolindwa na OCD ?
Ndio yaliyobaki hakuna mikakati ya chama!View attachment 1376817View attachment 1376818View attachment 1376820
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
Alidhani profesa j Yuko anaperform night club.hoja yako ya kijinga kama hii unataka nikusaidieje ?
Huna zaidi ya mihemuko yako ya siasahoja yako ya kijinga kama hii unataka nikusaidieje ?
Kwahiyo kutokubalika kwa mbowe ndiyo kutatuondolea vikwazo kutoka kwa WB?
In God we Trust
karibu sana mwanaccmHuna zaidi ya mihemuko yako ya siasa
Hao watoto hawawezi kupiga kura . sanasana wamekuja kumshangaa msanii aliyeimba zari la mentali
Sijadharau mkuu nisamehe bureMkuu acha dharau kwa sisi Waluguru
Kwani mtoto hana mzazi? Kwa kawaida na tamaduni zenu sisi watanzania kitu kama hakipendwi na mzazi mtoto huwezi kukipenda
In God we Trust
Ule uzi wenye ushahidi wa uvccm naona vijana wa lumumba mmeukwepa!Nasikia jamaa kateremshwa huko jimboni kwake, wamemchoka.
Kwani ni lazima kila mtu ausome?Ule uzi wenye ushahidi wa uvccm naona vijana wa lumumba mmeukwepa!
Hao ni Mbegu ndugu,chukulia wote hao hivi Sasa Wana miaka 13 miaka mitano ijayo watakua na miaka 18 .Hapo mkutanoni walipo Sasa hivi wanapata Elimu murua kabisa ya uraia na uchungu, Hawa utakapofika mda wa kujiandikisha hawahitaji kushawishiwa Bali wao ndio watakua wanawashawishi wengine.Na Hawa hawatakuibali kuibiwa kura. watakapoona matokeo yanacheleweshwa Hawa watakua na nguvu ya kufanya maamuzi magumu.Hao watoto hawawezi kupiga kura . sanasana wamekuja kumshangaa msanii aliyeimba zari la mentali
Hao Ni Mbegu Mzee.Hao watapata uhalali wa kupiga kura Miaka mitano ijayo.hao Ni jeshi la keaho.Hapa wanapikwa na wataiva.Endelea kudharau.Ukiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Safari hii mtaagiza wahuni kutoka wapi?Professor J anakubalika zaidi kwake, kuliko mbowe kwa hai
Bwashee Mbowe atawatapisha sana huko lumumba.Huyo J anakubalika tofauti na Mwamba wa akina sabaya!
Wewe jamaa nilikuaga nakuona Kama Ni mtu mwenye upeo mkubwa na mwenye akili,kumbe huwa siko sahihi.kumbe na wewe Ni sawa na LB7Professor J anakubalika zaidi kwake, kuliko mbowe kwa hai