kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Maneno haya kina Msalani wayapeleke Lumumba labda yale mabilioni ya uswizi yangerudi na kuwekezwa huko kwa hao mafisadi ajira zingeongezeka.
Mkuu Manyerere, asante!. Kwanza nakuu mkono pongezi zako kwa Prof. Ngoma, na kuungana na wito watu, watu wenye uwezo, wakumbuke makwao, wawekeze makwao na kuinua makwao kama CRS ya kurudisha kile kidogo with appreciation!.
Bila kujali sources of fund, tunachoangalia hapa ni "The end justifies the means!", ila mimi naomba niende a bit deeper zaidi katika "the motive behind" ziara yako kuzuru kijiji hicho!. Kama ulikuwepo hapo kwa safari zako nyingine, na ikatokea tuu ukauona huo mjengo, ukahamasika na kuutumia ku inspire na wengine, then its very fine!.
Lakini kama ulifanya "facility visit", kwa lengo hilo tuu, whoever facilitated that "visit kutembelea maendeleo ya enero hilo", might have "motive behind" with a good intention "watu" waone maendeleo ya "see what this man is doing for us!", hive mbunge wa eneo hilo ni nani vile?!, ili na mimi nimlobby a sponsored tour, atutembeze atuonyeshe amefanya mini, vinginevyo 2015...
Hongera zake Prof. Ngoma!.
Asante.
Pasco