Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Naona Safar hii inaenda Sana na wasomi
Rais wa Ndaki
Rasi wa Chuo Kikuu
RasiRasi wa Mzumbe Mbeya
tunabaki mazumbukuku wazungu watuibie vizuriNaona Safar hii inaenda Sana na wasomi
umenichekesha !!!!!!tunabaki mazumbukuku wazungu watuibie vizuri
😊umenichekesha !!!!!!
Ndaki=CampusRasi
Ndaki
Misamiati naomba ufafanuzi