Kwa vyuo vikuu vya serikali hiyo ni kazi ya Baraza la Senate la Chuo na mwisho kabisa Baraza la Chuo (yaani Council) ambaye ndiye "mwajiri" ingawapo kwa siku hizi utumishi/w.fedha ndio wanatoa mshahara moja kwa moja.naomba kujua kuna taasisi au tume ya kumthibitisha mtu kuwa Profesa?
Kama ilivyo ada katika taalumu kama Law kuna shule ya sheria, uhasibu kuna NBAA nk. Lakini licha ya kufahamu kuwa ili mtu awe Profesa especially Tanzania ni lazima awe na Shahada ya Uzamivu yaani PhD na kufanya tafiti mbalimbali na machapisho, naomba kujua kuna taasisi au tume ya kumthibitisha mtu kuwa Profesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwanzo uko sawa, isipokuwa PhD in most cases inaruhusu wewe kuajiliwa kama Lecturer kama una vigezo vingine na sio Senior Lecturer. Mwisho hauko sawa kabisa kwani kama ulivyosema kuwa u-professor ni cheo na cheo hutolewa na mwajiri. Mwajiri wa chuo kawaida ni Council ya Chuo, lakini lazima Baraza la Senate (baraza la taaluma kwa chuo kikuu chochote) lijiridhishe kuwa una vigezo stahili. Wao wakishakubali hupeleka jambo lako kwa Council ambayo ki kawaida inapitisha na kuthibitisha kuwa Senate wamefanya kazi kama ilivyotakiwa. Council ndio hukuandika barua kuwa fulani bin/binti fulani sasa umepandishwa cheo kuwa associate prof au professor (kamili). Bodi za kitaluuma for regulartory purposes hazihusiki kabisa kwenye hili.Kwanza nikurekebishe ya kwamba u Professor ni cheo na sio elimu. Elimu inaishia ngazi ya PhD. Kwa huku kwetu ukiwa na PhD cheo chako kitakuwa Senior Lecturer then ukipublish unakuwa Associate Professor na baadae Professor.
Je PhD inathibitishwaje? Kamati katika chuo husika inaundwa inategemea na chuo, lakini sehemu nyingi kunakuwa na external examiner mmoja na Internal either wawili au zaidi. Watapitia thesis yako then watashauri kulingana na utaratibu wa chuo. Baadae mwanafunzi unaitwa kupresent either kwa kamati tu au publicly kuhakiki kama kweli kazi hiyo ni yako. Baadae unapewa muda wa kufanya marekebisho kama yapo then baadae unatunukiwa PhD kutokana na ile report ya examiners.
Kama ulivyozungumza mleta mada kuwa kuna board mbalimbali za kitaalum, kwa maana hiyo Professor pia atawajibika kwenye board yake ya kitaaluma. Kama ni daktari, basi atawajibika kwa TMC and alike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwanzo uko sawa, isipokuwa PhD in most cases inaruhusu wewe kuajiliwa kama Lecturer kama una vigezo vingine na sio Senior Lecturer. Mwisho hauko sawa kabisa kwani kama ulivyosema kuwa u-professor ni cheo na cheo hutolewa na mwajiri. Mwajiri wa chuo kawaida ni Council ya Chuo, lakini lazima Baraza la Senate (baraza la taaluma kwa chuo kikuu chochote) lijiridhishe kuwa una vigezo stahili. Wao wakishakubali hupeleka jambo lako kwa Council ambayo ki kawaida inapitisha na kuthibitisha kuwa Senate wamefanya kazi kama ilivyotakiwa. Council ndio hukuandika barua kuwa fulani bin/binti fulani sasa umepandishwa cheo kuwa associate prof au professor (kamili). Bodi za kitaluuma for regulartory purposes hazihusiki kabisa kwenye hili.
Nimemuelewa vizuri sana na jibu langu bado linasimama palepale.
Umeandika na kueleza vizuri lakini masahihisho kidogo tu ni kuwa kuwa na PhD sio tiketi ya moja kwa moja kuwa Senior Lecturer, Senior Lecturer ni cheo cha kazi kama ilivyo Professor na inahitaji upublish ili kufika ngazi hiyo, na kuna point zinazohitajika kutokana na machapisho na muda wa kufundishaKwanza nikurekebishe ya kwamba u Professor ni cheo na sio elimu. Elimu inaishia ngazi ya PhD. Kwa huku kwetu ukiwa na PhD cheo chako kitakuwa Senior Lecturer then ukipublish unakuwa Associate Professor na baadae Professor.
Je PhD inathibitishwaje? Kamati katika chuo husika inaundwa inategemea na chuo, lakini sehemu nyingi kunakuwa na external examiner mmoja na Internal either wawili au zaidi. Watapitia thesis yako then watashauri kulingana na utaratibu wa chuo. Baadae mwanafunzi unaitwa kupresent either kwa kamati tu au publicly kuhakiki kama kweli kazi hiyo ni yako. Baadae unapewa muda wa kufanya marekebisho kama yapo then baadae unatunukiwa PhD kutokana na ile report ya examiners.
Kama ulivyozungumza mleta mada kuwa kuna board mbalimbali za kitaalum, kwa maana hiyo Professor pia atawajibika kwenye board yake ya kitaaluma. Kama ni daktari, basi atawajibika kwa TMC and alike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika na kueleza vizuri lakini masahihisho kidogo tu ni kuwa kuwa na PhD sio tiketi ya moja kwa moja kuwa Senior Lecturer, Senior Lecturer ni cheo cha kazi kama ilivyo Professor na inahitaji upublish ili kufika ngazi hiyo, na kuna point zinazohitajika kutokana na machapisho na muda wa kufundisha
Kwenye ku " publish" unatuacha asante kwa maelezo. Tafadhali una publish nini na kwa nani. Nitashukuru kama wajuzi mtatunyoshea hapo. Tumieni kiswahili tu fasaha ukiswanglish utatuacha. Asante.Kwanza nikurekebishe ya kwamba u Professor ni cheo na sio elimu. Elimu inaishia ngazi ya PhD. Kwa huku kwetu ukiwa na PhD cheo chako kitakuwa Senior Lecturer then ukipublish unakuwa Associate Professor na baadae Professor.
Je PhD inathibitishwaje? Kamati katika chuo husika inaundwa inategemea na chuo, lakini sehemu nyingi kunakuwa na external examiner mmoja na Internal either wawili au zaidi. Watapitia thesis yako then watashauri kulingana na utaratibu wa chuo. Baadae mwanafunzi unaitwa kupresent either kwa kamati tu au publicly kuhakiki kama kweli kazi hiyo ni yako. Baadae unapewa muda wa kufanya marekebisho kama yapo then baadae unatunukiwa PhD kutokana na ile report ya examiners.
Kama ulivyozungumza mleta mada kuwa kuna board mbalimbali za kitaalum, kwa maana hiyo Professor pia atawajibika kwenye board yake ya kitaaluma. Kama ni daktari, basi atawajibika kwa TMC and alike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ku publish maana yake ni kutoa machapisho ya kitaaluma, machapisho hayo ni kutangaza matokeo ya tafiti mbalimbali ulizofanya au ulizoshiriki kufanya, lengo la kwanza ni kama nilivyosema hapo juu kusambaza habari za tafiti lakini pia kutoa masuluhisho ya changamoto mbalimbali lakini pia ni kuelimisha jamii! Lengo la pili ni la kitaaluma unachapisha ili upande ngazi au upandishwe cheo kuna msemo huko vyuo vikuu unasema "Publish or Perish". Kwa hiyo ili upande ngazi na kupata maslahi mazuri kwa wanataaluma kuanzia ngazi ya Assistant lecturer to Associate Professor ni lazima utoe machapisho! ili kufikia kiwango fulani cha points! ila ukifika ngazi ya Full Professor machapisho ni kwa ajili ya kutoa tu mchango kwenye jamii maana hakuna promotion zaidi ya hapo (kwa ufahamu wangu)! Natumai nimejibu swali lako!Kwenye ku " publish" unatuacha asante kwa maelezo. Tafadhali una publish nini na kwa nani. Nitashukuru kama wajuzi mtatunyoshea hapo. Tumieni kiswahili tu fasaha ukiswanglish utatuacha. Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Mkuu nimeelewa vizuriKu publish maana yake ni kutoa machapisho ya kitaaluma, machapisho hayo ni kutangaza matokeo ya tafiti mbalimbali ulizofanya au ulizoshiriki kufanya, lengo la kwanza ni kama nilivyosema hapo juu kusambaza habari za tafiti lakini pia kutoa masuluhisho ya changamoto mbalimbali lakini pia ni kuelimisha jamii! Lengo la pili ni la kitaaluma unachapisha ili upande ngazi au upandishwe cheo kuna msemo huko vyuo vikuu unasema "Publish or Perish". Kwa hiyo ili upande ngazi na kupata maslahi mazuri kwa wanataaluma kuanzia ngazi ya Assistant lecturer to Associate Professor ni lazima utoe machapisho! ili kufikia kiwango fulani cha points! ila ukifika ngazi ya Full Professor machapisho ni kwa ajili ya kutoa tu mchango kwenye jamii maana hakuna promotion zaidi ya hapo (kwa ufahamu wangu)! Natumai nimejibu swali lako!