Professor mbwiliza aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa miaka ya zamani nimefanya naye kazi. Ameshastaafu. nimewahi kukutana naye posta mwaka 2018 and he was health and energetic.
Sio chumvi nyingi tu humu watu shule zimepanda huwezi amini.
Humu kuna wabunge,mawaziri,wakurugenzi,wakuu wa usalama,wakuu majeshi
Sasa ukitaka uwe hoi ubahatike uone jina lake la kificho unaweza ukazimia