Nimemsikiliza Prof. Tibaijuka vizuri Star-TV asubuhi hii, namuona anatapatapa. Kwa wachache tunaoijua shule hii ufadhili ulishafutwa muda mrefu na wanafunzi wapya wanaojiunga kwa muda mrefu wamekuwa wakilipa kiasi chote cha fedha. Napata wasiwasi kama kweli hizo hela alizopokea zililenga hasa ufadhili huo anaouongea. Kama kweli hizo hela zilikuwa za shule, nafikiri shule yenyewe ilikuwa ina uwezo wa kufungua account yake katika bank ya mkombozi, kwanini afungue account yake binafsi. Nadhani kuna haja ya kutafuta taarifa kamili kutoka kwenye shule yenyewe.
tuanze kuwaondoa hivi sasa ktk uchaguzi wa s/m na tuwamalizie mwakani,wezi wakubwa
Kwanza mmiliki halisi wa Barbro ni nani?
Tuanze kuwaondoa hivi sasa ktk uchaguzi wa s/m na tuwamalizie mwakani,WEZI WAKUBWA
swali zuri sanaKwanza mmiliki halisi wa Barbro ni nani?
Ukishamjua itakusaidia nini?Kwanza mmiliki halisi wa Barbro ni nani?
na ww ulikuwa mnufaika nn?Ukishamjua itakusaidia nini?
Wivu si mzuri ndugu. Anzisha na we shule yakona ww ulikuwa mnufaika nn?
milioni 1600?Huhitaji kusumbua akili zako, km pesa ni za shule pesa sizingekwenda kwenye akaunti ya shule? kwaani shule ina board na uongozi yeye angebaki kuwa miongoni mwa signatories/signatory. Hapa atuambie pesa alipewa za nini. Milioni 1600 unasema ni zawadi tu.