My Take:
Kwa kosa alilolifanya kupeleka ombi Un Pasi na kupata baraka za baraza la wawakilishi Znz wakti anajua fika suala la ardhi sio suala la muungano ni utovu mkubwa sana wa nidhamu na kutaka kufanya ubabe na kuvunja katiba ya Muungano na ile ya Zanzibar. Kiungwana anatakiwa ajiuzuru.[/FONT][/COLOR]
Je unaijua bahari kuu weye?
Utawezaje kuizungumzia bahari kuu kwa Tanganyika bila kuihusisha Zanzibar?
Je ongezeka hilo Znz itafaidikaje nalo? kama watafanikiwa ombi lao huko UN, Znz itaongezewa au kupunguziwa eneo lake la bahari kwa kiasi gani?
Kwanini Braza la wawakilishi alikuhusishwa katika mchakato mzima?
kuna siri gani hapo wakti kitu hichi hakimo katika mkataba wa muungano wa Tanganyika na Znz?:eyebrows:nafikiri
hayo ni masuala yanayotakiwa kuulizwa katika kadhia nzima na kufanya Tibaijuka na Shamuhuna lazima wajiuzuru.
Hilo aliwezekani hata kidogo. Kwani Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio KIKATIBA. Kuna mambo apo nje ya mkataba wa Muungano likiwemo hili la ardhi na makazi.
Sasa unapozungumzia maslahi ya eneo la milki ya arrdhi ni lazima uziusishe pande zote mbili kwani hili si suala la muungano. Alichofanya Tibaijuka ni ubabe kitu ambacho hakikubaliki. Ni mawili tu yanatakiwa hapo ima a withdraw hayo maombi na kuanza mchakato mpya kama nchi zote mbili zitakubaliana au kuanisha kila nchi itanufaika vipi in terms of eneo hilo.
kama OIC ilizimwa na Muungano kwanini na hili lisizimwe.
Tibaijuka amechamke lazima ajiuzuru tu hakuna mjadala.
Ajiuzuru kwa lipi sasa?
Umeshatuambia kuwa muungano huu hauna katiba sasa unasimamiaje katiba ambayo haipo? Kajipange tena, muongo wewe!
Hivi kuongezewa eneo kwa ajiri ya uchumi wa nchi na kuimarisha ulinzi halikuwa swala kufanya mjadala wa kitaifa kwanza ndio tuchukue uamuzi, Mama Prof. Timaijuka kafanya kwa usahihi kabisa kufanya alivyo fanya. Au ulitaka pesa za walipa kodi zipotee tena kwa ajili ya kuratibu maoni ya raia juu ya kuomba kuongezewa eneo nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Muungano ni issue sensitive
je kulikuwa kuna ubaya gani ikafanyika public consultation juu ya hili ?
Je wananchi wamehusishwa vipi ?
serikali zote za CCM zinaweza zikawa ziko right lakini wanavyoifanya hii issue ni kui mishandle kama walivyofanya juu ya Kigamboni na uvumi juu ya kambi ya jeshi ya USA
Na vile vile Tibaijuka alitakiwa aende na faili la Tanganyika sio Tanzania. Kwani Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je unalijua hilo?
Kwani madaraka ya Tibaijuka mwisho msasani wala hayafiki Znz. Kwa kuwa amejivika kilemba cha Tanzania ndipo tunapomuhoji alipewa na nani madaraka ya kuiwakilisha kwenye jambo lisilo la muungano? Je aliowawakilisha wanalijua hilo?
Kwa vyovyote lazima kiungwana ajiuzuru.
Hakika Jusa wewe ni shujaa sana kwa kuliona hili kwani kuna dhulma kubwa sana ilitaka kufanyika hapa. Ikiwemo ile ya kumega eneo la bahari kwa Znz na kuitumbukiza katika Muungano.
Lazima kieleweke na Prof lazima aondolewe hapo. Kwani ubabe hauna nafasi kwenye sheria. lazima sheria zifuatwe.
Sina uhakika w hayo maandishi kwenye red,maana kama Jussa ndio shujaa wa wazanzibar,basi hali ya znz ni tete kuliko ninavyo fikiria