Tram Almasi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 748
- 227
Anatia nguvu na hamasa kwamba at last Wizara imepata mtu.Chief, with that kind of a CV, he should be a one man army within the ministry and the gas/oil/minerals sector.
Yes, he needs support, but again with that kind of a CV, support comes automatically due to the work that the don does.
Mzee kwa taarifa yako, kama uliwahi kusoma kitu inaitwa "Maslow's Hierachy of Neesds", (of course you can google it as well), zipo tano na ya juu kabisa kupita zote inaitwa "Self Esteem". Huyu ameshafikia hapo na hahitaji chochote kile zaidi ya "urge" na "good faith", ya kufanya kazi. Kwa mfano, mhakikishie kuwa atakula, atalala, anaweza kukufanyia kazi bila hata kumlipa mshahara! Wapo watu wa namna hii, and is just one of them!
Mkuu CV ya huyu Prof ni nzito lakini kwa mfumo tulionao wa hawa magumashi cam Govnt sijui kama ataweza kuachive lolote zaidi zaidi ni kupapasa tu mipango ya kawaida lakini kubadili mwelekeo kwa nia ya kuleta maendeleo ya kweli sijui!!! Maana ni kuvuruga supu ya wakubwa, nasikia wameisha anza kumjadili amekanyaga nyanya za watu!!! Wapenda maendeleo ya nchi yetu tumuombee kwa kipindi hiki azidi kupambana !!!Tukimpa ushirikiano atatusaidia sana watanzania huyu mtu. CV yake inatisha. anatakiwa apate ushirikiano wetu ili atembeapo ajue kuna watanzania maskini milioni 39 nyuma yake wanaotamani wakombolewe kutokana na shida zakimfumo uliojengeka ndani ya sekta nyeti anayoiongoza.
]Sospter Muhongo hajawati kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, hana uzoefu katika uongozi na ni mtu mwenye jazba sana. Tuhuma alitozoa dhidi ya wabunge zitamtokea puani. Amefanya makosa makubwa sana kumpigia simu balozi wa marekani ni kumtuhumu kuwa shirika la kuzalisha umeme la Symbion limewaonga wabunge ili kumtetea mkurugenzi wa Tanesco aliyepita. Hili jambo rais Kikwete hakulipenda na anaweza kupoteza nafasi yake ya uwaziri.
Hiyo ni CV ya Uprofesa wa GEology sio CV Uprofesa wa siasa za magamba na system.....tulipokuwa pale mlimani tulimchagua kuwa head wa department...madudu aliyoyafanya kila mtu hakuwa na hamu naye awe mwanafunzi au lecturer.... na kumbuka dk mmoja alitoa mfano wa kumdhalilisha tea room mpaka akaiacha chai....." ....ukimfundisha mtu ni sawa sawa na kumbikiri mwanamke hata kusahau kamwe...." hiyo ili kuwa kauli ya lecturer mwenzie ambaye alimfundisha kabla na yeye kubalizwa kwa mizengwe pale UDsm
Uongozi siyo cv kuuubwa ni talent
I am not sure if this can be true.Naelewa kabisa kazi za nje ya nchi mara nyingi sana zinatumia muda wa mtu kupita kiasi na income aipatayo interms of cash inakatwa kodi kubwa so kama hakuweza ku-invest hapa nchini kuna taabu kidogo kwani pension scheme yetu ni mbovu ajabu.
So unaweza shangaa kwa sasa Prof. atapata mawazo sana ya jinsi ya ku-sustain life yake after office.
Angekuwa nafasi ya PM ama Rais basi hapo tungeshuhudia maajabu kwani angekuwa amebakiwa na self actualization tu.
Simfahamu vizuri undani wake lakini kama yuko kama wengine wa calibre yake ninaowafahamu ambao wamerudi sasa nchini wakiwa na CV nzito nzito lakini mfukoni ndo kama wanaanza nursary basi shida ni kubwa mno!
Hivi ni nani aliyewaambia wachimbaji wa Dhahabu na wanakijiji huko (Meremeta) Musoma waliotishia kuishtaki serikali kwa kuacha mashimo na kuondoka na mali zote kuwa km ni HIVYO MM SIKO NANYI MNAOISHTAKI SERIKALI
Huyu hafanyi siasa, anatenda. Asimwambie balozi wa Marekani kama nchi yake imefanya pumba na udanganyifu na wezi wa rasilimali za nchi kisa anaogopa Mkulu atamtoa kwenye nafasi!!! Kwani alimwambia amteue? Huyu hateteleki na kukosa huo uwaziri ni sisi tunaomhitaji yeye bali yeye anahitajiwa na wengi duniani (soma CV).