kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Prof,Drs ni hatari kwa ustawi wa nchi hii!!
Hata mimi nakubaliana,hii midudu inayoitwa prof na drs ni chanzo kikubwa cha umaskini nchi yetu!Ni midudu inayotakiwa kutawaliwa kiimla ili itumike vizuri vinginevyo hii midudu ndiyo madalali wakubwa kuuza nchi yetu na kutengeneza matabaka ili iabudiwe kama miungu!Huyu mtu angeshitakiwa tu anyang'anywe huo u prof maana akili yake ni ndogo kuliko ya mpika supu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums