Tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga CCM katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri Prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Kunani Prof.! Unawashauri nini UKAWA?
alipewa milioni 200 na ccm akahidiwa atapewa mkataba mpya chuoni si unajua njaa ogopa tena ya uzeeni
Tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga CCM katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri Prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Kunani Prof.! Unawashauri nini UKAWA?
Amegundua anazeeka vibaya. Amejinyea mwisho wa sherehe.
acha ubaguzi wa kuita watanzania wahindi
Waswahili mna kisirani...wewe unafahamu mwishow a siku Shivji ana jumuika na watu gani ktk issue gani zina mbainisha ktk makundi ya watu?Wapuuzi kweli,kwa hiyo umedanganywa kuwa dini moja ndio na wewe ni mhindi na yeye ni mswahili?hao kenge wakishapata umaarufu na mafanikio huwa wanahama hadi na nchi.Wanataja ndugu zao walio wahindi kamili ili kujionesha kuwa ni watu gani.Sijui nani yule km mswahili,..ila mamangu,bibi angau, babu yangu alikuwa mhindi kabisa ....Poleni sana..acha ubaguzi wa kuita watanzania wahindi