Alipewa za halali au bandia kama walizopewa wale wa kanda ya ziwa!?
siyo mchumia tumbo kama waryoba, alishasema amewaachia wanasiasa wabwabwaje, siku akirudi anawamaliza kabisatangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga ccm katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Kunani prof.! Unawashauri nini ukawa?
acha ubaguzi wa kuita watanzania wahindini jana tu nilikuwa najiuliza kulikoni huyu mhindi si kawaida yake kukaacha kimya kiasi hiki........au aibu aliyovuna pale alipotetea serikali 2 ndio imemuweka kifungoni?
amejifungia anamalizia katiba ya serikali mbili
mmezoea kunyamazishwa na mbowe kwa ruzuku ya serikali mnafikiri shivji ana njaa kama nyiealipewa milioni 200 na ccm akahidiwa atapewa mkataba mpya chuoni si unajua njaa ogopa tena ya uzeeni
kwa ni i usichangie kitu cha maana kuliko hizi tuhuma za kupika?Alipewa milioni 200 na ccm akahidiwa atapewa mkatAba mpya chuoni si unajua njaa ogopa tena ya uzeeni
Ni jana tu nilikuwa najiuliza kulikoni huyu mhindi si kawaida yake kukaacha kimya kiasi hiki........au aibu aliyovuna pale alipotetea serikali 2 ndio imemuweka kifungoni?
Tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga CCM katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri Prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Kunani Prof.! Unawashauri nini UKAWA?
Mchmia tumbo profesa gani ana njaa kiwango cha kukana hata alichokiandikasiyo mchumia tumbo kama waryoba, alishasema amewaachia wanasiasa wabwabwaje, siku akirudi anawamaliza kabisa
Prof Shivji is dead wood!Tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga CCM katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri Prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Kunani Prof.! Unawashauri nini UKAWA?