Tsidikeu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,312
- 890
Zisifunguliwe kurasa mkuu,nashauri ziwe blocked kabisa!au wapeke fb na mitandao mingine yakidaku.Mleta mada, ni dhambi kubwa kupandikiza mambo ya udini katika jamii, tujiepushe na hili kwa manufaa ya vyama vyote na taifa kwa ujumla. Ningependekeza, kwa heshima ambayo JF imejijengea, hizi uzi zinazochochea udini, zifunguliwe kurasa yake ya udaku wa udini.
A lie has speed,but truth has endurance