Prof. Safari kweli upo CHADEMA?

Prof. Safari kweli upo CHADEMA?

Kama wanasheria wote ni wanasheria.
Kama wanasiasa wote ni wanasiasa
kama USOMO. PROF SAFARI YUPO JUU
Kama kuyongea na hamasa ya kuzungumza Wote wanayo

KWANINI HAPANDISHWI JUKWAAN KIAMA MARANDO ANAVYOFANYIWA?

Kwa mara ya mwisho niliwahi kumsikia Katika kujibu hoja ya BAKWATA NA UCHAGUZI WA IGUNGA
3308556949_cb62ce697f.jpg
3309244659_3c39c32301_z.jpg


Prof. Abdallah Safari (kulia) akinyanyua mkono pamoja na mshindi wa nafasi hiyo, Prof. Lipumba

AU MSWAHILI?
 
una ajenda yako wewe ambayo ilishapata kushindwa long time.issue kubwa hapa naona ni 7000 per post
 
Hivi hizi ndiyo ajira milioni moja alizosema Kikwete???
 
Yaani umesinzia toka Uchaguzi wa Igunga mpaka leo ! Amka,fungua masikio na macho UTAMSIKIA na kujua Prof Safari ana wadhifa gani Ndani CHADEMA.
 
Kwa nini usimtafute mwenyewe Prof. Safari ukamuuliza hilo swali?
 
Proffessor Safari hana njaa kama unavyofikiri wewe na hafikirii kwa kutumia kiwiliwili kama unavyofanya.Yule ni kichwa na kwa sasa ametulia anaratibu mikakakati makini ya kuwakomboa wa TZ.

Yaelekea mtuma uzi una usongo sana kumuunganisha na ugaidi tasa wenu mlioupanda.

Big up proffessor wangu mwakilishi wa wasomi wa mashariki na pwani walioelevuka.

Jimbo lolote utakalohitaji proffessor utalibeba kwani wazee na vijana wote wa dar na pwani wanafahamu uwezo wako.
 
Proff Si Msemaj sana kwa Hulka yake, ila Mambo anayoyafanya ndo utayaskilizia utamu wake. Kamuulize Dalali Kafumu ndo atakuhadithia Vyema
 
Anataka kusema kuna Udini huyo , tumemstukia , Aibu kuu iwe juu ya Kichwa chako !
 
Ibilisi ndiye kiongozi wako na Professor Safari anaongozwa na Mungu.
 
Dini baba ndio tatizo pia kumbuka musoma ipo karibu ka kilimanjaro na arusha
 
Dini baba ndio tatizo pia kumbuka musoma ipo karibu ka kilimanjaro na arusha
Mental retardation (MR) or general learning disability is a generalized disorder appearing before adulthood, characterized by significantly impaired cognitive functioning.
 
Lengo la mleta mada hasa ni udini. Chadema aina udini propoganda hizi hazifai. Njoo kwetu kwamtoro Kondoa sehemu yenye waislama wengi uone chadema inavyo nawiri.
Mleta mada, ni dhambi kubwa kupandikiza mambo ya udini katika jamii, tujiepushe na hili kwa manufaa ya vyama vyote na taifa kwa ujumla. Ningependekeza, kwa heshima ambayo JF imejijengea, hizi uzi zinazochochea udini, zifunguliwe kurasa yake ya udaku wa udini.
 
Ni ngumu kwa muislam mwenye akili timamu na itikadi na dini yake kuwa mwanachama wa CHADEMA! Wakati wabunge wa chama chako wanafanya juhudi kuangamiza dini yako! Refer mchango wa Selasini na Msigwa kwenye bunge hili!
 
Siasa sio majukwa bali ni kuitendea kazi. Katika chama chochote kuna watu muhimu zaidi ya wale unaowaona jukwani. Ni wachambuzi na wanamipango ndani ya chama. Kamanda Safari ndo kama hawa.


 
Back
Top Bottom