G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,307 Aug 15, 2016 #41 mshana jr said: Wa mambo yetu yalee Click to expand... Umesema yupo nchi gani vile?
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,441 Reaction score 15,675 Aug 15, 2016 #42 Nimepitia mtandaoni wanafunzi waliofundiswa naye wanamsifia wanasema usipo muelewa basi huwezi kumwelewa prof yeyote yule.
Nimepitia mtandaoni wanafunzi waliofundiswa naye wanamsifia wanasema usipo muelewa basi huwezi kumwelewa prof yeyote yule.
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 Aug 15, 2016 #43 Hahahahaaaa wasomi kama hao huwa wana life principle zao na huwa wanajiona wako sahih 100% huwez kusindana nao umbadilishe ukashinda sahau just ni life style aloichagua na anaamini yupo sahh koz anaamini anajua nini lengo lq maisha yke
Hahahahaaaa wasomi kama hao huwa wana life principle zao na huwa wanajiona wako sahih 100% huwez kusindana nao umbadilishe ukashinda sahau just ni life style aloichagua na anaamini yupo sahh koz anaamini anajua nini lengo lq maisha yke