Mbona povu hivyo. Au na wewe una rasta chafu?Wewe ndio akili zero
Mtu kuamua kufuga nywele kwa ajili ya Imani Au kwa kupenda dreadlocks eti usafi zero.
Bangehuyu ni mwenzangu ktk eneo lile lingine, daah!
Sawa lakini nazungumzia kuhusu hiyo thickness ya hizo nywele
ha ha ha haProf amerauka
Mbona povu hivyo. Au na wewe una rasta chafu?
Ila kuna wengine wasafi wengine ndo hivyo tena. Tusifike mbali ndugu nimekuelewa sana.Hapana mkuu mm naenda barber shop kila mwezi na kukata au kufuga nywele ni maamuzi binafsi ya mtu
Ninacho jaribu ni kuondoa dhana potofu dhidi ya hawa majamaa walio amua kufuga nywele. WanabaguliwA sana kisa dreadlocks au hata kupewa sifa mbovu eti mchafu au mvuta jani
Hahahah labda ni prof.wa mambo ya kaleAu ni prof wa mambo ya kitamaduni? Huyu hata mtoto mdogo akimuona lazima akimbie..