Prof. Rogo

Huwa mdomo wake anaonekana kama mwanachama mwenzangu vile
 
Wewe ndio akili zero
Mtu kuamua kufuga nywele kwa ajili ya Imani Au kwa kupenda dreadlocks eti usafi zero.
Ana point hata ufanyeje hizo nywele huwezi kuzisafisha mpaka kwenye sakafu ya kichwa
 
Ana point hata ufanyeje hizo nywele huwezi kuzisafisha mpaka kwenye sakafu ya kichwa

Mbona tunafanya generalization na kuwa judgmental?
Just because he has dreadlocks haimaanishi jamaa anakula mkate wa bwana na ni mchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…