Ukweli ni kwamba sio kwamba huwa hawalijui hilo; bali ni kujitoa akili kwa sababu MaCCM yote yamekuwa machumia tumbo; kutetea maslahi binafsi na kumfurahisha mswahili!
Kuna wakati Huwa hakuna Tofauti kati ya Profesa na Darasa la Saba
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
Kwa mahaba aliyo nayo mpaka anaacha kuzungunza facts,elimu haimsaidii
Kuna wakati Huwa hakuna Tofauti kati ya Profesa na Darasa la Saba
Mkuu huyo mswahili huwa hana heko
Na lipumba jee?.Maana kuna maamuzi yake juzi kati hapa ki ukweli sikuyaelewa kabisaa.Kwa maprofesa wa ccm ni sawa tu darasa la saba
Na lipumba jee?.Maana kuna maamuzi yake juzi kati hapa ki ukweli sikuyaelewa kabisaa.
ongeza na Lipumba... nae zero tu miaka kibao CUF wabunge wawili tu....List of Profs. : Machunda, Meena, Kapuya, Maghembe , Malyosi etc. zero poductivity