hutaki tuwe na vyuo vingi ili vijana wawe na uwanja mpana wa kupata vyuo?Ingekuwa mimi ni waziri wa Elimu ningerudisha Ardhi University UDSM, maana yanayoendelea sasahivi kwenye hivi vyuo hata sielewi zaidi ya kusema ni ulafi wa madaraka hasa ukizingatia ukaribu wa hivi vyuo viwili. Ardhi ilijitenga na UDSM lakini ikaja kuanzisha kozi ambazo zipo UDSM mfano Civil Engineering na UDSM imeanzisha BA in Architecture ambayo ipo ARU na kozi zingine nyingi. Hizo kozi zimeanzishwa lakini kwa asilimia kubwa wanategemea walimu walewale kutoka vyuo vyote viwili. Quality ya Elimu sasa inapotea, ni mkanganyiko tu!. Nafikiri kuna haja ya kurudia kuchunguza na kujiridhisha umuhimu wa hivi vyuo viwili kujitenga.
Kwa dhambi hii hatutashangaa COICT nayo kujitenga!.
Mkuu kama na wewe bado uko Ardhi kweli chuo kirudi tuu Udsm.Nakubaliana_na_ww_mkuu.
Mimi_bado_nipo_Ardhi_University,kinachoendelea_hapa_nia_aibu_tuu.
Nahisi_hawakujipanga_kuwa_University_kamili_inayojitegemea_kwa_kila_kitu.
Ni_kitu_kizuri_kuwa_na_ongezeko_la_vyuo_nchini_mwetu,lakini_Je,ubora_wa_elimu_inayotolewa_inazingatiwa!
Vyuo_tofauti,kozi_zilizosawa,na_muendelezo_wa_kuazimishana_wahadhiri...Ubora_wa_elimu_umezingatiwa_kweli?
Kweli huko vyuoni kwenu kuna kazi.Nakubaliana_na_ww_mkuu.
Mimi_bado_nipo_Ardhi_University,kinachoendelea_hapa_nia_aibu_tuu.
Nahisi_hawakujipanga_kuwa_University_kamili_inayojitegemea_kwa_kila_kitu.
Ni_kitu_kizuri_kuwa_na_ongezeko_la_vyuo_nchini_mwetu,lakini_Je,ubora_wa_elimu_inayotolewa_inazingatiwa!
Vyuo_tofauti,kozi_zilizosawa,na_muendelezo_wa_kuazimishana_wahadhiri...Ubora_wa_elimu_umezingatiwa_kweli?
Sasa huu ni uandishi gani sasa mwana ARUNakubaliana_na_ww_mkuu.
Mimi_bado_nipo_Ardhi_University,kinachoendelea_hapa_nia_aibu_tuu.
Nahisi_hawakujipanga_kuwa_University_kamili_inayojitegemea_kwa_kila_kitu.
Ni_kitu_kizuri_kuwa_na_ongezeko_la_vyuo_nchini_mwetu,lakini_Je,ubora_wa_elimu_inayotolewa_inazingatiwa!
Vyuo_tofauti,kozi_zilizosawa,na_muendelezo_wa_kuazimishana_wahadhiri...Ubora_wa_elimu_umezingatiwa_kweli?
Wenye_busara_hutafakari_kwanza,halafu_huuliza_ili_kujua_sababu.Sasa huu ni uandishi gani sasa mwana ARU
Hakika kama ndo hivi kuna ulazima wa aru kurudishwa udsm
Kwa uandishi huu sijui ukivukaje darasa la tatu.Wenye_busara_hutafakari_kwanza,halafu_huuliza_ili_kujua_sababu.
Uandishi_wangu_hauakisi_kwa,namna_yoyote_upeo_wangu_wa_kufikili.
Wewe_na_wenzako_hapo_mlipaswa_kunihoji_ili_kujua_kwanini_style_yangu_ya_uandishi_si_yenye_kunipambanua_kama_mwanafunzi_wa_ARU.
Ukweli_ni_kwamba_kifaa_ninachotumia_kucomment_mawazo_yangu_kina_matatizo.
Na_hiyo_hainizuii_mimi_kutoa_mawazo_yangu_hata_kama_ni_katika_namna_isiyowapendeza.
Mwenye_hekima_na_busara,hutafakari_kilichoandikwa,Sio_kimeandikwaje_au_kimeandikwa_kwa_style_gani!
Uandishi_wangu_hauakisi_kwa,namna_yoyote_upeo_wangu_wa_kufikili.
Ukweli_ni_kwamba_kifaa_ninachotumia_kucomment_mawazo_yangu_kina_matatizo.
Hahahaaaaa nyeeeeSasa huu ni uandishi gani sasa mwana ARU
Hakika kama ndo hivi kuna ulazima wa aru kurudishwa udsm
[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huu ni uandishi gani sasa mwana ARU
Hakika kama ndo hivi kuna ulazima wa aru kurudishwa udsm
Hahahaha JF is never boring!Kwa uandishi huu sijui ukivukaje darasa la tatu.
Ardhi ndio mnafundishwa kuandika hivo? [emoji15]Nakubaliana_na_ww_mkuu.
Mimi_bado_nipo_Ardhi_University,kinachoendelea_hapa_nia_aibu_tuu.
Nahisi_hawakujipanga_kuwa_University_kamili_inayojitegemea_kwa_kila_kitu.
Ni_kitu_kizuri_kuwa_na_ongezeko_la_vyuo_nchini_mwetu,lakini_Je,ubora_wa_elimu_inayotolewa_inazingatiwa!
Vyuo_tofauti,kozi_zilizosawa,na_muendelezo_wa_kuazimishana_wahadhiri...Ubora_wa_elimu_umezingatiwa_kweli?
Wenzio matako tunakalia tuARU ikirudi Udsm basi na wewe urudi kwa wazazi wako