vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Nianze kwakumpongeza waziri huyu kuteuliwa na mh Rais kuwa waziri wa wizara nyeti lakini nionyeshe masikitiko yangu nakuu mawili kwa maamuzi mabovu ya huyu profesa katika muelekeo wa elimu yetu hapa Tanzania.
1.Prof unaenda kuliua somo la hesabu kabisa mashuleni kwani kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne2015 somo la hesabu halikupewa umuhim hivyo hakukuwa na adhabu yoyote(penalty) kwa mtu aliyepata alama F katika somo hilo na wala haikuathiri daraja la mtu huyo kama miaka ya nyuma kwa mazingira ya somo lenyewe taifa linakwenda kuwakosa wataalamu wa hisabati kwakua somo hilo halina mkazo tena
2.Kwa kitendo cha wizara kupitia baraza la mitihani kupandisha viwango vya ufaulu kwa kidato cha sita A kuanzia 80 badala ya 75 wakati hata hiyo 75 ilikuwa sio jambo la rahisi kupati.